Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,632
- 3,813
"in the heaven of peace Azania stand up........." wimbo wa shule bora kati ya shule zote nilizowahi soma. Azaboy ✌
Mbinu za kazii daima tuwe watu watii tuwajibikeWeraweraaaaaaa
SHULE yetu ufundi Mungu ibarikiii
Bariki wanafunzi na walimuu
Tupate amani, upendo umojaaa... ushirikiano na udumuuuu...
Tuwe watu watii tuwajibike na kuzibuni mbinu za kaziiii.....
Dah . angalau sijui na vyoo wamevirekebisha.ukienda utapapotea.. rangi zimepigwa mpya, mabati mapya karakana limeboreshwa,
Ule Msufi /mbuyu mbele ya bweni la Mirambo wameifyeka tulipokua tunakula GADA
Uyui ile ya wahuni pale Tabora?Wapi Geita sec, Mkwawa, Mpwapwa, Kisutu, Uyui,Kilosa, Ifakara,Magamba,Same,Lake.
Hiyo hiyo broUyui ile ya wahuni pale Tabora?
Nimekucheki nimeona una akili sana ila uangalifu ndio huna. .. nimemsema mleta mada ni kama kajianzishia tu thread na Heading yake ni neno Shule... sasa kwa mtu makini hata ukiwa ni mtihani Anasoma kwanza instructions... na sio kuanza tu kujibu maswali... watu wengi mitaani wamefail life kwa kutokuwa makini tokea mashuleni kwao walianzia ila wana akili sana tunawaona kwenye shughuli mbalimbali wabazozifanya...International School of Tanganyika (sekondari) siyo kongwe, ilikuwa ya msingi na chekechea, Bunge na Upanga. Wazungu, wahindi na wengine wenye uwezo sekondari walikwenda Iyunga.
Sie tulikuta pamepoa ila mpk nimeondoka kulitokea migomo na vurugu kama 9 hivi .Haswa kipindi cha umiseta (michezo ya ujirani mwema)na harusi za karibu na shule tulivunja vioo vya magari, na kubwa siku ya mahafali tulivamia chuo 2012. Cjui ubongo kipindi kile ulipatwa na nini sio kwa fujo zile.
Dah!Heshima ni muhimu kwa jumuiya
Katika kuzibuni mbinu za kazi
Tuwe watu watii, tuwajibike
Nakuzibuni mbinu za kazi.
Tuwe watu watii, tuwajibike
Nakuzibuni mbinu za kazi daima.
Aisee mpaka nimevikumbuka vile vimachungwa vya kule Ochard chini ya Dorm 30 pale na Vimbuzi vya Mama Rehema..Dah!
Sasa ni zamu yetu,kuinua ufundi
Katika ufanisi wa kazi ..... daimaa tuwe watu watii tuwajibikeee na kuzibuni mbinu za kazi....... daimaaaa!
CC Baba_Enock
Iyunga boys
Kitambo sana daah
Love much !!
Rungwe then A level Njombe Sec (njoss)