Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi

"in the heaven of peace Azania stand up........." wimbo wa shule bora kati ya shule zote nilizowahi soma. Azaboy ✌
 
Nimekumbuka mbali sana.Tanga Tech Sec.School.Mwl mkuu Mr TETI nilikua kiranja wa chakula bweni langu FARU nakumbuka sana Kakunyu na yuru mwaka 1994-1998.kila la heri aisee.one kipindi hicho zilikua za kumwaga.
 
oOTE="kombaME, post: 24103953, member: 321386"]
Kama nimeitaja shule yako jitokeze na uitaje umpate school mate mwenzio muunde undugu.. Nimepanga randomly bila kufuata utaratibu wowote..

1.Mzumbe

2.Milambo

3.Kantalamba

4.Minaki

5.Iyunga

6.Kibaha

7.Mazengo

8.Tosamaganga

9.Tabora boys

10.Mtwara tech

11.Moshi tech

12.Mwakaleli

13.Tabora girls

14.Pugu

15.Ifakara

16.Mtwara girls

17.Tambaza

18.Azania

19.Msalato

20.Kilakala

21.Umbwe

22.Rungwe

23.Songea boys

24.Masasi girls

25.Kigonsera

26.Tarime

27.Malangari

28.Sengerema

29.Shinyanga ''Shy bush''

30.Ndanda

31.Njombe sec ''njosi"

32.Kigoma

33.Kwiro

34.Bwiru boys

35.Bwiru girls

36.Nsumba

37.Lindi

38.Bagamoyo

39.Kibiti

40.Jitegemee

41.Kabanga

42.Mpwapwa

43.Bihawana

44.Same

45.Weruweru

46.Kifungilo

47.Galanosi

48.Nangwa

49.Morogoro

50.Korogwe girls

51.Kilosa

52.Tunduru

53.Ndwika

54.Chidya

55.Mwenge

56.Maposeni

57.Ngudu

58.Igawilo

59.Msolwa

60.Mambwe

61.Lugalo

62.Makongo

63.Ifunda tech

64.Iliboru

65.Kidugala

66.Iringa girls

67.Maswa girls

68.Mahiwa

69.Marangu

70.Arusha

71.Ngaza

72.Usagara

73.Ihungo

74.Maua seminary

75.Uru seminary

76.Lyamungo

77.Mafinga seminary

78.Kirinjiko

79.Tanga tech

80.Kibosho girls

81.Kibondo

82.Mara

83.Jangwani

84.Nyegezi seminary

85.Machame girls

86.Namupa seminary

87.Uwemba

88.Pamba

89.Kahororo

90.Nyakato

91.Sangu

92.Kibasila

93.Mawenzi

94.Karatu

95.Kindondoni Muslim

96.Ashira

97.Kaengesa seminary

98.Magamba

99.Zanaki

100.Old Moshi
[/QUOTE]
25..kigonsera(kygo boyz)(watu pori)
 
International School of Tanganyika (sekondari) siyo kongwe, ilikuwa ya msingi na chekechea, Bunge na Upanga. Wazungu, wahindi na wengine wenye uwezo sekondari walikwenda Iyunga.
Nimekucheki nimeona una akili sana ila uangalifu ndio huna. .. nimemsema mleta mada ni kama kajianzishia tu thread na Heading yake ni neno Shule... sasa kwa mtu makini hata ukiwa ni mtihani Anasoma kwanza instructions... na sio kuanza tu kujibu maswali... watu wengi mitaani wamefail life kwa kutokuwa makini tokea mashuleni kwao walianzia ila wana akili sana tunawaona kwenye shughuli mbalimbali wabazozifanya...

So hauhitaji kunikosoa kuhusu heading na maneno niliyoandika labda uwe mtu mbishi for funny....

Saidia mada kwa kuweka age ya hizo Shule na useme ukongwe unaanzia age gani...
 
Kitendo cha kujiunga na shule ile automatically unajikuta ushakuwa mhuni Wa aina flani, kupitia michezo ya bonanza la manispaa tulikuwa tunavuruga amani manispaa yotee. Siku Kanta wakiwa zamu kucheza basi ffu walikuwa hawakai mbali na Mara kadhaa wametushindwa, tulikuwa tukitoka Nelson Mandela stadium tunafunga njia st. Theresia tunasindikiza "wachumba" zetu. Kitendo hicho kilichukiza Sana polisi Ndio maana Siku ulivotokea mgomo walikuja wamejipanga tukakomeshwa.

.....uvamizi Wa sherehe za mtaani ulizidi sana had kuna siku washkaji waliwahi kwenye tukio LA kipaimara wakaa kwenye siti ya wazazi wa mtoto.

....but maisha ya pale shule yalitujenga kuwa imara, wapambanaji, maana kusavaivu maisha ya pale basi hakuna sehemu waweza shindwa ishi.
....pia kitaaluma tulikuwa vizuri na hadi sasa shule kitaaluma iko vizur sana, kitendo cha kuwepo pale vijana wote uwa wanapambana Kwa kushirikiana kwenye mambo yote hususan ya kitaaluma.
ALWAYS AIM HIGH
Sie tulikuta pamepoa ila mpk nimeondoka kulitokea migomo na vurugu kama 9 hivi .Haswa kipindi cha umiseta (michezo ya ujirani mwema)na harusi za karibu na shule tulivunja vioo vya magari, na kubwa siku ya mahafali tulivamia chuo 2012. Cjui ubongo kipindi kile ulipatwa na nini sio kwa fujo zile.
 
Heshima ni muhimu kwa jumuiya
Katika kuzibuni mbinu za kazi
Tuwe watu watii, tuwajibike
Nakuzibuni mbinu za kazi.

Tuwe watu watii, tuwajibike
Nakuzibuni mbinu za kazi daima.
Dah!

Sasa ni zamu yetu,kuinua ufundi
Katika ufanisi wa kazi ..... daimaa tuwe watu watii tuwajibikeee na kuzibuni mbinu za kazi....... daimaaaa!
CC Baba_Enock
 
Dah!

Sasa ni zamu yetu,kuinua ufundi
Katika ufanisi wa kazi ..... daimaa tuwe watu watii tuwajibikeee na kuzibuni mbinu za kazi....... daimaaaa!
CC Baba_Enock
Aisee mpaka nimevikumbuka vile vimachungwa vya kule Ochard chini ya Dorm 30 pale na Vimbuzi vya Mama Rehema..
 
45 Reactions
Reply
Back
Top Bottom