Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,590
- 22,200
International School of Tanganyika (sekondari) siyo kongwe, ilikuwa ya msingi na chekechea, Bunge na Upanga. Wazungu, wahindi na wengine wenye uwezo sekondari walikwenda Iyunga.Mleta mada nadhani kabwia kiasi.... unaleta news zisizo na Data... weka miaka ya hizo shule tuone ukongwe wake... mfano hizo za jeshi kama Makongo siwezi kukubali kama ni Shule Kongwe... labda kama zama hizo hazikujulikana sababu walisoma wanajeshi pekee na baadae kuchanganya na raia... kuna Shule sijaziona hapo na ni nzee... afu hajaweka haswa kama ni Secondary school only au na primary pengine na Nursery.... Shule za Agakhan hajaweka hata moja.. even International School of Tanganyika... Shule Kongwe za Zanzibar hajui hata moja. ... nadhani katunga mada huyu