Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,797
- 156,922
Umeorodhesha shule za juzi juzi unaziita kongwe? How? Feza, marian tangu lini zikawa kongwe?
Thanks!! You can't write more than that. Hajui heshima ya Kiungani huyo. Tangu ilipokuwa kule karibu na Mkwakwani mpaka hapo ilipo Kwanjeka/ Makolola.Nilitegemea katika listi yako ungeipa heshima TANGA TECHNICAL SCHOOL shule ya kwanza ya serikali Tanzania yenye zaidi ya miaka 120 na iliyozalisha viongozi wakubwa nchini akiwemo Rais mstaafu J. M. Kikwete. Anyway, naamini umepitiwa.
Asante TTS & MINAKI. Miaka niliyopitia huko haikuenda bure kama makinikia ya madini Tz.
Tanga Tech. no.79 boss.. ipoThanks!! You can't write more than that. Hajui heshima ya Kiungani huyo. Tangu ilipokuwa kule karibu na Mkwakwani mpaka hapo ilipo Kwanjeka/ Makolola.
Old Moshi sec shule yangu nilikaa kibo 5Kama nimeitaja shule yako jitokeze na uitaje umpate school mate mwenzio muunde undugu.. Nimepanga randomly bila kufuata utaratibu wowote..
1.Mzumbe
2.Milambo
3.Kantalamba
4.Minaki
5.Iyunga
6.Kibaha
7.Mazengo
8.Tosamaganga
9.Tabora boys
10.Mtwara tech
11.Moshi tech
12.Mwakaleli
13.Tabora girls
14.Pugu
15.Ifakara
16.Mtwara girls
17.Tambaza
18.Azania
19.Msalato
20.Kilakala
21.Umbwe
22.Rungwe
23.Songea boys
24.Masasi girls
25.Kigonsera
26.Tarime
27.Malangari
28.Sengerema
29.Shinyanga ''Shy bush''
30.Ndanda
31.Njombe sec ''njosi"
32.Kigoma
33.Kwiro
34.Bwiru boys
35.Bwiru girls
36.Nsumba
37.Lindi
38.Bagamoyo
39.Kibiti
40.Jitegemee
41.Kabanga
42.Mpwapwa
43.Bihawana
44.Same
45.Weruweru
46.Kifungilo
47.Galanosi
48.Nangwa
49.Morogoro
50.Korogwe girls
51.Kilosa
52.Tunduru
53.Ndwika
54.Chidya
55.Mwenge
56.Maposeni
57.Ngudu
58.Igawilo
59.Msolwa
60.Mambwe
61.Lugalo
62.Makongo
63.Ifunda tech
64.Iliboru
65.Kidugala
66.Iringa girls
67.Maswa girls
68.Mahiwa
69.Marangu
70.Arusha
71.Ngaza
72.Usagara
73.Ihungo
74.Maua seminary
75.Uru seminary
76.Lyamungo
77.Mafinga seminary
78.Kirinjiko
79.Tanga tech
80.Kibosho girls
81.Kibondo
82.Mara
83.Jangwani
84.Nyegezi seminary
85.Machame girls
86.Namupa seminary
87.Uwemba
88.Pamba
89.Kahororo
90.Nyakato
91.Sangu
92.Kibasila
93.Mawenzi
94.Karatu
95.Kindondoni Muslim
96.Ashira
97.Kaengesa seminary
98.Magamba
99.Zanaki
100.Old Moshi
Old Moshi kwa wajanja na wababe nilikaa kibo 5 hapoBila aibu ukaamua kuicha Old Moshi
Mama kweka, Mr. Kishazi, kisikio, Ms drakula na mama kisanji 90'sMawenzi enzi zile ilikuwa na maadili kama shule ya seminari. Jamii inayonizunguka mara nyingi huisi nimesoma upadri nikaacha kumbe ni Mawenzi 1983 to 1986......Ahsante Mama Msuya kwa makuzi
Mimi nilikuwa Hanang 18O
Old Moshi kwa wajanja na wababe nilikaa kibo 5 hapo
Jirani na bubu na pia T.O.O Physics na pia mangare na mkewe shangazi pale nyuma ya fensi vp ulitokagani pale?Mimi nilikuwa Hanang 18
Kama nimeitaja shule yako jitokeze na uitaje umpate school mate mwenzio muunde undugu.. Nimepanga randomly bila kufuata utaratibu wowote..
1.Mzumbe
2.Milambo
3.Kantalamba
4.Minaki
5.Iyunga
6.Kibaha
7.Mazengo
8.Tosamaganga
9.Tabora boys
10.Mtwara tech
11.Moshi tech
12.Mwakaleli
13.Tabora girls
14.Pugu
15.Ifakara
16.Mtwara girls
17.Tambaza
18.Azania
19.Msalato
20.Kilakala
21.Umbwe
22.Rungwe
23.Songea boys
24.Masasi girls
25.Kigonsera
26.Tarime
27.Malangari
28.Sengerema
29.Shinyanga ''Shy bush''
30.Ndanda
31.Njombe sec ''njosi"
32.Kigoma
33.Kwiro
34.Bwiru boys
35.Bwiru girls
36.Nsumba
37.Lindi
38.Bagamoyo
39.Kibiti
40.Jitegemee
41.Kabanga
42.Mpwapwa
43.Bihawana
44.Same
45.Weruweru
46.Kifungilo
47.Galanosi
48.Nangwa
49.Morogoro
50.Korogwe girls
51.Kilosa
52.Tunduru
53.Ndwika
54.Chidya
55.Mwenge
56.Maposeni
57.Ngudu
58.Igawilo
59.Msolwa
60.Mambwe
61.Lugalo
62.Makongo
63.Ifunda tech
64.Iliboru
65.Kidugala
66.Iringa girls
67.Maswa girls
68.Mahiwa
69.Marangu
70.Arusha
71.Ngaza
72.Usagara
73.Ihungo
74.Maua seminary
75.Uru seminary
76.Lyamungo
77.Mafinga seminary
78.Kirinjiko
79.Tanga tech
80.Kibosho girls
81.Kibondo
82.Mara
83.Jangwani
84.Nyegezi seminary
85.Machame girls
86.Namupa seminary
87.Uwemba
88.Pamba
89.Kahororo
90.Nyakato
91.Sangu
92.Kibasila
93.Mawenzi
94.Karatu
95.Kindondoni Muslim
96.Ashira
97.Kaengesa seminary
98.Magamba
99.Zanaki
100.Old Moshi
25.wanangu wa kigonsera pga keleleKama nimeitaja shule yako jitokeze na uitaje umpate school mate mwenzio muunde undugu.. Nimepanga randomly bila kufuata utaratibu wowote..
1.Mzumbe
2.Milambo
3.Kantalamba
4.Minaki
5.Iyunga
6.Kibaha
7.Mazengo
8.Tosamaganga
9.Tabora boys
10.Mtwara tech
11.Moshi tech
12.Mwakaleli
13.Tabora girls
14.Pugu
15.Ifakara
16.Mtwara girls
17.Tambaza
18.Azania
19.Msalato
20.Kilakala
21.Umbwe
22.Rungwe
23.Songea boys
24.Masasi girls
25.Kigonsera
26.Tarime
27.Malangari
28.Sengerema
29.Shinyanga ''Shy bush''
30.Ndanda
31.Njombe sec ''njosi"
32.Kigoma
33.Kwiro
34.Bwiru boys
35.Bwiru girls
36.Nsumba
37.Lindi
38.Bagamoyo
39.Kibiti
40.Jitegemee
41.Kabanga
42.Mpwapwa
43.Bihawana
44.Same
45.Weruweru
46.Kifungilo
47.Galanosi
48.Nangwa
49.Morogoro
50.Korogwe girls
51.Kilosa
52.Tunduru
53.Ndwika
54.Chidya
55.Mwenge
56.Maposeni
57.Ngudu
58.Igawilo
59.Msolwa
60.Mambwe
61.Lugalo
62.Makongo
63.Ifunda tech
64.Iliboru
65.Kidugala
66.Iringa girls
67.Maswa girls
68.Mahiwa
69.Marangu
70.Arusha
71.Ngaza
72.Usagara
73.Ihungo
74.Maua seminary
75.Uru seminary
76.Lyamungo
77.Mafinga seminary
78.Kirinjiko
79.Tanga tech
80.Kibosho girls
81.Kibondo
82.Mara
83.Jangwani
84.Nyegezi seminary
85.Machame girls
86.Namupa seminary
87.Uwemba
88.Pamba
89.Kahororo
90.Nyakato
91.Sangu
92.Kibasila
93.Mawenzi
94.Karatu
95.Kindondoni Muslim
96.Ashira
97.Kaengesa seminary
98.Magamba
99.Zanaki
100.Old Moshi
Vijana wa mbwanji nawaona, karibu aggrey hapaTuko pamoja mkuu rungwe the champions ulikua bweni gani mkwawa au mbangula
Sent using Jamii Forums mobile app