Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi

Shule kongwe ni zile zilizofanya CAMBRIDGE au E A. CERTIFICATE OF EDUCATION kwa maana hiyo basi tuanzie 1970 kurudi nyuma.
Hapa nazitaja baadhi za mkoa wetu...
Umbwe Secondary
Old Moshi Secondary
Lyamungo Secondary
Machame Girls
Weru Weru Girls
Ashira Girls
Moshi Tech
Mawenzi Secondary
Kibo Secondary
Kibosho Girls
Same Secondary
Kibohehe Boys
Ruksa kuengeza kama nimesahau na wengine tajeni za mikoa yenu...
Ministers of Education by then:
Eliofoo
Elinawinga
Wote walikuwa ni Wachagga.
 
Ningeshtuka sana kama nisingeona Shule yangu

Shule ya kwanza kabisa na kongwe kuliko shule nyingine yoyote ya Serikali TZ
 
Mleta mada nadhani kabwia kiasi.... unaleta news zisizo na Data... weka miaka ya hizo shule tuone ukongwe wake... mfano hizo za jeshi kama Makongo siwezi kukubali kama ni Shule Kongwe... labda kama zama hizo hazikujulikana sababu walisoma wanajeshi pekee na baadae kuchanganya na raia... kuna Shule sijaziona hapo na ni nzee... afu hajaweka haswa kama ni Secondary school only au na primary pengine na Nursery.... Shule za Agakhan hajaweka hata moja.. even International School of Tanganyika... Shule Kongwe za Zanzibar hajui hata moja. ... nadhani katunga mada huyu
 
"Our motto liberation, eduation we get should liberate us" - hii ni NJOMBE SECONDARY a.k.a NJOSS
Sasa nakuja kuitaja Shule moja tu ya BOY'S Tanzania hii, nikisema mim nmesoma Boys namaanisha ni SONGEA BOY'S tu kwani kuna boys moja tu Tanzania nzima.
Box 2 nyoosha kidole cha kati juuuuuuuuuu
 
Iyunga boys
Kitambo sana daah
Love much !!
IYUNGA ipi? Toka Mbeya School mpaka mwaka 1969? Hii ilikuwa zaidi ya shule, ilikuwa ya kimataifa na shule pekee ya kiwango cha juu Afrika Mashariki na Kati, haitatokea hata shule kama International School of Tanganyika na International School of Moshi hazitaifikia, ada wakati huo ni shlilingi elfu mbili (2,000/=) Ilikuwa shule pekee ya kimataifa ya kiwango cha juu.
 
HIZI NDIO SHULE 105 KONGWE TANZANIA.kama jina la shule uliyosoma wewe haipo hapa basi ujue akili zako za kulazimisha

Shule hizo ni;
1.Mzumbe
2.Milambo
3.Kantalamba
4.Minaki
5.Iyunga
6.Kibaha
7.Mazengo
8.Tosamaganga
9.Tabora boys
10.Mtwara tech
11.Moshi tech
12.Tabora girls
13.Pugu
14.Ifakara girls
15.Tambaza
16.Azania
17.Msalato
18.Kilakala
19.Umbwe
20.Rungwe
21.Songea boys
22.Masasi girls
23.Kigonsera
24.Tarime
25.Sengerema
26.Shinyanga"shy bush"
27.Ndanda
28.Njombe sec
29.Kigoma
30.Kwiro
31.Bwiru boys
32.Bwiru girls
33.Nsumba
34.Lindi
35.Bagamoyo
36.Kibiti
37.Jitegemee
38.Kabanga
39.Mpwapwa
40.Bihawara
41.Same
42.Weruweru
43.Kifungilo
44.Galanosi
45.Nangwa
46.Korogwe girls
47.Nyegezi seminari
48.Kilosa
49.Tunduru
50.Ndwika
51.Chidya
52.Mwenge
53.Maposeni
54.Ngudu
55.Igawilo
56.Msolwa
57.Mambwe
58.Lugalo
59.Makongo
60.Ifunda tech
61.Iliboru
62.Kidugara
63.Iringa girls
64.Maswa girls
65.Mahiwa
66.Marangu
67.Arusha
68.Ngaza
69.Usagara
70.Ihungo
71.Maua seminary
72.Uru seminary
73.Lyamungo
74.Mafinga seminary
75.Kirinjiko
76.Tanga tech
77.Kibosho girls
78.Kibondo
79.Mara
80.Jangwani
81.Machame girls
82.Korogwe girls
83.Uwemba
84.Pamba
85.Kahororo
86.Nyakato
87.Sangu
88.Kibasila
89.Karatu
90.Ngudu
91.Iliboru
92.Kindondoni Muslim
93.Ashira
94.Kaengesa
95.Magamba
96.Zanaki
97.Tasamaganga
98.Mwika
99.Old moshi.
100. Imboru
101.Singe Sec
102.Madunga
103.Malangali
104.Ifunda
105.Songea girls
18. Tosamaganga na 97. Tasamaganga hizo ni tofauti?
 
Mkumbuke na kwenda kuangalia ustawi wa shule zenu mlizopitia ili kama kuna changamoto mkasaidie kuzitatua. Najua wengi mmefanikiwa kimaisha kupitia shue hizo.
 
HIZI NDIO SHULE 105 KONGWE TANZANIA.kama jina la shule uliyosoma wewe haipo hapa basi ujue akili zako za kulazimisha

Shule hizo ni;
1.Mzumbe
2.Milambo
3.Kantalamba
4.Minaki
5.Iyunga
6.Kibaha
7.Mazengo
8.Tosamaganga
9.Tabora boys
10.Mtwara tech
11.Moshi tech
12.Tabora girls
13.Pugu
14.Ifakara girls
15.Tambaza
16.Azania
17.Msalato
18.Kilakala
19.Umbwe
20.Rungwe
21.Songea boys
22.Masasi girls
23.Kigonsera
24.Tarime
25.Sengerema
26.Shinyanga"shy bush"
27.Ndanda
28.Njombe sec
29.Kigoma
30.Kwiro
31.Bwiru boys
32.Bwiru girls
33.Nsumba
34.Lindi
35.Bagamoyo
36.Kibiti
37.Jitegemee
38.Kabanga
39.Mpwapwa
40.Bihawara
41.Same
42.Weruweru
43.Kifungilo
44.Galanosi
45.Nangwa
46.Korogwe girls
47.Nyegezi seminari
48.Kilosa
49.Tunduru
50.Ndwika
51.Chidya
52.Mwenge
53.Maposeni
54.Ngudu
55.Igawilo
56.Msolwa
57.Mambwe
58.Lugalo
59.Makongo
60.Ifunda tech
61.Iliboru
62.Kidugara
63.Iringa girls
64.Maswa girls
65.Mahiwa
66.Marangu
67.Arusha
68.Ngaza
69.Usagara
70.Ihungo
71.Maua seminary
72.Uru seminary
73.Lyamungo
74.Mafinga seminary
75.Kirinjiko
76.Tanga tech
77.Kibosho girls
78.Kibondo
79.Mara
80.Jangwani
81.Machame girls
82.Korogwe girls
83.Uwemba
84.Pamba
85.Kahororo
86.Nyakato
87.Sangu
88.Kibasila
89.Karatu
90.Ngudu
91.Iliboru
92.Kindondoni Muslim
93.Ashira
94.Kaengesa
95.Magamba
96.Zanaki
97.Tasamaganga
98.Mwika
99.Old moshi.
100. Imboru
101.Singe Sec
102.Madunga
103.Malangali
104.Ifunda
105.Songea girls

Tanga Tech ndo ya kwanza kabisa
Mwaka 1995 ilikuwa na miaka 100
 
Back
Top Bottom