Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi

Shule yetu nzuri ya korogwee
Kwa mola twaiombea barakaa...

Ibariiki, ibariki shule yetu nzuri,
Ipate mafanikio kwa kila fani...

Our motto: elimu na kazi

Shule za serikali miaka hiyo bwana. Yaan unaenjoy. Nimesoma private kama baobab na kwa kipingu lkn korogwe was my favourite. Korogwe girls udumu milele.

Ila imechoka kwelikweli natamani ikarabatiwe upýa. Ni shule kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usizisahau Shule za (Mufindi Education Trust - MET) za Igowole,Mdabulo,Mafinga,..
 
Back
Top Bottom