Hizi ndo picha za jamaa aliyepofuliwa macho kwa kutembea na mke wa Polisi

Huyo jamaa hajatumia busara kabisa. Ilitakiwa waongee wasameheane tu ili yaishe. Kutoboana macho siyo sahihi kabisa
 
Kuna jamaa nikepanga nae nyumba moja, anapenda sana wake za watu kuna kabinti mke wa mtu jamaa anatembea nako na mme wake hajui kutokana na ubize. Sasa mtu kama huyo anajua kabisa huyo ni mke wa mt u lakini hasikii inafikia wakati anapata hadi wivu jamaa akienda kuoga na mke wake. Nimemsihii sana lakini haelewi. Mtu kama huyu akibambwa si hata shingo akatwe. Mwenzaka kao kwa halali yeye badala atafuta walio single anatafuta walio double ili apate mseleleko wa maisha. Ajui kama mwenzake anagharamia.
wapigwe tu, koz 2mechoka. Watakupiga 2 nami naxema muwapge 2.
 
huyu jamaa anashinda kinondoni morocco anaomba msaada na nilishawahi kumuona kwenye kipindi cha chanel TEN anahojiwa kama mara mbili hivi,lakini swali la mshangao anamtambua kwa jina hadi jina la huyo askari na sijasikia response ya JESHI la polisi hadi leo kwa kilichomtokea jamaa na bazazi hilo la polisi
 
Sasa haji kuchukua mke wa mtu mwingine tena maana hapo atakuwa anasikia sauti tu hata kuona na kutambua kama huyu mzuri au mbaya haiwezekani tena. Ila jamani kuna wake wa watu wengine wazuri na wanalipa.
 
Usiseme hivyo wewe, punishment should fit the crime. hapa Ze Polisi ameenda mbali sana aisee.
Kama kila dhambi ingekuwa inatolewa adhabu hapa na kwa jinsi hiyo unafikiri tungekuwaje?
Haya hata useme shida ni mke wa mtu...Hao wasichana mnaolala nao daily na kuleta visa huku jukwaani kwani c wanakuja kuwa wake za watu?
Yani najua Mungu akituangalia jinsi tulivyopotea hasira zinaongezeka kila kukicha duniani, Ole wetu!!

Mbona unatetea au na ww mchukua wake za watu nn? Hilo ni fundisho kwa wanaopenda kutumia viburudisho vya watu
 
Sasa haji kuchukua mke wa mtu mwingine tena maana hapo atakuwa anasikia sauti tu hata kuona na kutambua kama huyu mzuri au mbaya haiwezekani tena. Ila jamani kuna wake wa watu wengine wazuri na wanalipa.

we upofu unakunyemelea siku sio nyingi
 
huyu jamaa anashinda kinondoni morocco anaomba msaada na nilishawahi kumuona kwenye kipindi cha chanel TEN anahojiwa kama mara mbili hivi,lakini swali la mshangao anamtambua kwa jina hadi jina la huyo askari na sijasikia response ya JESHI la polisi hadi leo kwa kilichomtokea jamaa na bazazi hilo la polisi

Tanzania hakuna haki! Heeeee...inasikitisha!
 
huyu jamaa anashinda kinondoni morocco anaomba msaada na nilishawahi kumuona kwenye kipindi cha chanel TEN anahojiwa kama mara mbili hivi,lakini swali la mshangao anamtambua kwa jina hadi jina la huyo askari na sijasikia response ya JESHI la polisi hadi leo kwa kilichomtokea jamaa na bazazi hilo la polisi

Bazazi sio polisi ni huyo anayechukua wake za wenzie. Hapo Polisi katoa fundisho kwa wakware wanaopenda kula wake za watu
 
Lkn tujiulize ni kwann mwanamke alikubali wakati anajijua ni mke wa mtu? Na vipi kama alisema hana mume
 
Back
Top Bottom