Hizi ndizo sarafu zenye thamani ndogo kabisa duniani.

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,827
4,757
11. zimbabwean dollar. hii ina mpaka noti ya triliioni moja
1 usd =250,000,000,000,000 zimbawbwean dollar
.
lakini zimbabwe waliamua kutumia dolla ya marekani kwa ajili ya exchange na matumizi.
Weakest%2BCurrencies%2Bof%2Bthe%2Bworld%2B00.jpg


10. Iranian riyal, hiii kwa sasa ndo sarafu inayoongoza kuwa na thamani ndogo kwa sababu zimbabwe waliamua kutumia dolla ya marekani kama sarafu yao.
1 usd=30,191.00 riyals
Weakest%2BCurrencies%2Bof%2Bthe%2Bworld%2B01.jpg


9. São Tomé & Príncipe Dobra, hii inashika namba mbili
1 usd=22285.50
S%25C3%25A3o%2BTom%25C3%25A9%2B%2526%2BPr%25C3%25ADncipe%2BDobra.jpg


8. Vietnam Dong, hii ni sarafu itumikayo nchini vietnam na inashika namba tatu kwa uduni.
1 usd=22280.00 Vietnamese Dong
Weakest%2BCurrencies%2Bof%2Bthe%2Bworld%2B03.jpg


7. belarusian ruble, hii ni sarafu itumikayo katika nchi ya belarus


1usd=21620.00 Belarusian Ruble

Belarusian%2BRuble.jpg


zingenezo ni kama ifuatavyo


6. Indonessian rupiah
1usd=13770 rupiah


5. Laotian kip hi inatumka nchini Lao
1usd=8142 kips

4.
Guinean Franc
1usd=7721 francs

3.
paraguayan Guarani
1 usd=5869 guaranis

2.
Siera Leonean Leone
1 usd=4125 leones


1. Cambodian Riel
1usd=4033 riel


NB: kuna haja kubwa ya serikali kuchukua kila hatua iwezekanavyo ili tusifike kama nchi hizo hapo juu japokuwa kuwa na hela yenye thamani inaweza kuwa ni faida espaecially kwa nchi ambayo vitu vingi ina uwezo wa kuzalisha yenyewe pia kuwa na thamani ndogo haimaanishi nchi ina uchumi mdogo.
 
Iv kuna uhusiano gan kati ya thaman ya ela na ukuaji wa uchumi maana naona apo nchi kama indonesia uchumi wake ni mkubwa na unakua kwa kasi lakini thamani ya ela yao ni ndogo?
 
Iv kuna uhusiano gan kati ya thaman ya ela na ukuaji wa uchumi maana naona apo nchi kama indonesia uchumi wake ni mkubwa na unakua kwa kasi lakini thamani ya ela yao ni ndogo?
kuna nchi ambazo zina uwezo wa kuzalisha vitu vingi wao wenyewe. hivyo ili waweze kupambana na bidhaa za kutoka nje wanaamua kuishusha pesa yao thamani hivyo kufanya bidhaa kutoka nje kuwa na bei kubwa kwa soko la ndani halafu bidhaa hiyo hiyo iliyozalishwa ndani kuwa na bei nafuu hivyo kuwavutia wanunuzi wa ndani. pia kuwa na thamani ndogo ya hela kwa nchi ambayo ipo vizuri kiuzalishaji inasaidia kuongezeka kwa export kwa sababu bidhaa zinakuwa za bei nafuu hiki ndicho china huwa anakifanya na ndo maana obama alipiga sana kelele kuhusu china kuishusha thamani sarafu yao.
 
kuna nchi ambazo zina uwezo wa kuzalisha vitu vingi wao wenyewe. hivyo ili waweze kupambana na bidhaa za kutoka nje wanaamua kuishusha pesa yao thamani hivyo kufanya bidhaa kutoka nje kuwa na bei kubwa kwa soko la ndani halafu bidhaa hiyo hiyo iliyozalishwa ndani kuwa na bei nafuu hivyo kuwavutia wanunuzi wa ndani. pia kuwa na thamani ndogo ya hela kwa nchi ambayo ipo vizuri kiuzalishaji inasaidia kuongezeka kwa export kwa sababu bidhaa zinakuwa za bei nafuu hiki ndicho china huwa anakifanya na ndo maana obama alipiga sana kelele kuhusu china kuishusha thamani bidhaa zao.
Ok! sasa vp kiuchumi inakua haina athari kwao kwa kushusha thaman ya ela na vp wao wakitaka kuingiza/kununua kutoka nje si watakua wanatumia kiasi kikubwa cha ela katika ununuzi!???
 
Ok! sasa vp kiuchumi inakua haina athari kwao kwa kushusha thaman ya ela na vp wao wakitaka kuingiza/kununua kutoka nje si watakua wanatumia kiasi kikubwa cha ela katika ununuzi!???
hii ni free market na moja ya lengo la kushusha thamani ni kufanya bidhaa za nje ni kuwa thamani kubwa ili uongeze export.ukiongeza export inamaanisha hata pato lako pia linaongezeka na unakuwa na namna ya kushughulikia hizo bidhaa unazozihitaji sana toka nje. mfano kama hizo ni mali ghafi na nchi inaziitaji sana serikali inaweza ikapunguza kodi na hata kutoa ruzuku kwenye hizo bidhaa. kiufupi kushusha thamani pesa inakuwa inafaa sana kwenye zile zenye uchumi wa kati na zipo vizuri kiviwanda. lakini haifai kwa nchi ambayo inategemea kiasi kikubwa katika importation kama tanzania.
 
Back
Top Bottom