chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,720
Umeme wa Nucler plant ni umeme wenye teknolojia ya juu sana na umakini kuliko kitu chochote kwa sababu ikitokea tatizo basi madhara yake ni makubwa.
Umeme huu utengenezwa na uranium ya isotope -235 na usabisha joto ambalo kuzimika kwake uchukua mda mrefu kutokana na radiation zisizo pungua wakataki wa uchavushaji joto.
Gram 1 ya uranium ni sawa na makaa ya mawe yenye uzito wa kilo 2500kg.
kama tutakuwa na kilo moja uranium ina weza kuzalisha umeme sawa kwh 2500000000 bila kuzima.
Tatizo linakuja kushindwa kuwa na mfumo huu :
*Ufinyu wa wataalamu na umakini
bado nchini kwetu tuna sababu ya kutoweka kwa sababu idadi ya watalaamu ni ndogo au hakuna kabisa kuendesha na pia umakini kuepuka kulipuka au kuungua.
*Usalama na matumizi mbadala
uchavushaji wa uranium wa kuzalisha umeme upelekea watu kutumia vibaya na ndio maana upelekea kutengeneza silahaa
*Hatari ya Nuclear plant
kama mtakumbuka ukrain 26 April 1986 chernobyl kilivolipuka na kusababisha mji mzima kuondolewa na kubaki kama pori.
Sasa tulivo kuwa na sifa utakuta tumekiweka ubungo pale au tabata ikatokea kama hii.
wote dar es salaam tunahama na kukuacha kama kulivo.
*Umoja wa nguvu za atomic kwenye siasa na usalama
umoja huu uogopa au kukataza watu kufanya mifumo hii kwa nchi zinazotaka kujaribu kuofia zinaweza kujiingiza kwenye mambo haya.
Elimu ya Nuclear ni nzuri kama ukielewa na ina faida kubwa kwenye swala maendeleo ya nishati ya umeme