Hizi ndizo nyumba zinazochangia kuenea kwa UKIMWI

Sioni point ya kuweka hizo hotel/ motel/ guest houses hapa jamvini na kusema ni madanguro maarufu?

Ina maana hizo ukienda wanawake au wanaume wanapatikana hapo hapo umaarufu wao ni huduma nzuri wanazotoa kwa wateja wanaokodisha vyumba?

Mkuu hizi sehemu unapata wanawake wakuvinjali nao lakini huduma inategemea na maeneo uliyo enda hata quality ya hao wanawake vile vile inategemea eneo husika maana kuna type kwa wale walevi wa mibonge mibonge kuna sehemu zao ukienda utawakuta tu wapo sokoni lakini hawa hawana uhusiano wowote na mmiliki wa hotel/guest/bar yeye anafanya biashara tu.
 
Duh....asante kwa hii thread....maana nilikua nimeishiwa na machimbo....hii thread ibadilishwe na kuitwa "Directory ya Maraha"!!!!!!!!!!
 
hahahaha mkuu hii imekufa jamaa ameokoka alichoma kreti na kupasua vyupa...lakini hivi sasa sijui jamaa kaishiwa tena naona watu wanaingia ingia pale lakini pamepooza sana kama unataka kulala lazima uwe na kitambulisho cha ndoa.

dah ebwanaee
ila namkumbuka mshikaji mmoja alikuwa anajua sana kula kozi madirishani (kuchungulia), sasa siku moja alikwenda kula kozi kwenye gesti bubu moja akakuta siku hiyo dema anapigwa matoleo ya kiutu uzima, halafu njembadube akawa anamla huyo dem mpaka kisamvu. jamaa midadi ikampanda ila alipong'aza macho akagundua kuwa yule dem ni maza wake toka nitoke. ilikuwa patashika kubwa maana jamaa tokea pale ndipo alipoanza kuugua presha
 
Haya sasa,siku zote hapa duniani ili ushindane na hali iliyopo cha msingi ni akili kichwani.
Vinginevyo,unapotea hivi hivi kama kumsukuma mlevi!
 
Msisahau na majumbani kwenu kwa wale mabachela, hosteli mbali mbali za vyuo...cbe, mabibo
 
Mwageni na picha zake tuzifahamu...

shekhe unataka na ramani pia??
kama unataka kuzifikia hizi nyumba wewe bofya kwa FIDEL kisha unafika
au mkuu unataka kufungua biashara ya supu?? maana shughuli za majumba yaha shurti uamke na supu
 
Mwageni na picha zake tuzifahamu...

Ili kukemea hii tabia na ili waume za watu wawe makini si wanasema abiria chunga mzigo wako .... basi kesho nafanya kazi ya ziada kupiga picha nitazitundika hapa.
 
ulitembelea ukiwa pekee yako au na wewe ulikuwa na mtu ili kuonekana sio mashushushu na kuingia kwa mida hiyo?
 
hizi "KUTOKA DAR KWENDA DAR" ni kibao siku hizi na sinza ndo zipo kila baada ya nyumba kadhaa, friday moja nilipata wageni nikawa nawatafutia rooms za moderate price, nilikoma kwani nilishangazwa na namnani, kuna vyumba 104 lakini palikuwa full wananiambia labda nitapata monday... lol. nilizunguka sinza yote ikabidi wakubali kulipa bei kubwa walale pale ubungo plaza for at least one day.
 
Hivi ile Tausi pale Morocco ipo bado.......

Au vipi kijitonyama kwa ma Paulina.
 
Sawa.

Kama kilimo kipo nyuma, na ni cha jembe la mkono.kijiji kimoja chenye kaya zaidi ya 100 kinapelekewa 25 Kgs za Mbegu ya Mahindi.

Viwanda na mashirika yote vimebinafsishwa.

Lazima watu warudi kwenye THE OLDEST PROFESSION on earth.

Cha msingi walindwe.Ipelekwe Sheria,ipite itengenezewe kanuni za kuendesha hii biashara na support service nyingine ziwepo.

Watu walipe rent,wapate chakula,wasomeshe na wajenge pia.

Mkuu hapo tupo pamoja. Hii ni underground economy and need to be regulated for mutual benefit. Similarly, this will be a form of tarriff restriction to non competitive individuals.
 
Mkuu hapo tupo pamoja. Hii ni underground economy and need to be regulated for mutual benefit. Similarly, this will be a form of tarriff restriction to non competitive individuals.
Mkulu
Mbona sasa umenibania?
Vibaya hivyo sheikh.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom