Hizi ndizo kura alizopata Mhe. Regia Mtema alipogombea Ubunge Morogoro 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi ndizo kura alizopata Mhe. Regia Mtema alipogombea Ubunge Morogoro 2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jiwe la Ukara, Jan 16, 2012.

 1. J

  Jiwe la Ukara Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [TABLE="class: arc90_altrows-Blue"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]MOROGORO
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]WILAYA YA KILOMBERO[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]KILOMBERO[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%, bgcolor: #B3D5E6"]Candidate[/TD]
  [TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
  Political Party
  [/TD]
  [TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
  Number of Votes
  [/TD]
  [TD="width: 15%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
  Percentage Votes
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"] MTEKETA RAJABU ABDUL [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  CCM
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]43,459[/TD]
  [TD="width: 15%"] 48.86[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"] MTEMA REGIA ESTELATUS [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  CHADEMA
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]38,550[/TD]
  [TD="width: 15%"] 43.34[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"] ZAINABU IBRAHIMU HIMILI [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  CUF
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]4,469[/TD]
  [TD="width: 15%"] 5.02[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"] ABDU ALLY MNOLA [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  UPDP
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]299[/TD]
  [TD="width: 15%"] 0.34[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"] [/TD]
  [TD="width: 20%"] [/TD]
  [TD="width: 5%"] [/TD]
  [TD="width: 15%"] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 10%"]SPOILT VOTES[/TD]
  [TD="width: 20%"] [/TD]
  [TD="width: 20%"]2,165[/TD]
  [TD="width: 15%"] 2.43 [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 10%"]TOTALS[/TD]
  [TD="width: 20%"] [/TD]
  [TD="width: 20%"] 88,942[/TD]
  [TD="width: 15%"] 100 [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"] [/TD]
  [TD="width: 20%"] [/TD]
  [TD="width: 5%"] [/TD]
  [TD="width: 15%"] [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kama umezitoa NEC ni za magumashi hizi

  Inewezekana NEC ndo wasababisha yote haya
   
 3. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Inawezekana NEC wamesababisha yote yepi?
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Huyu aliwezaje kuupata ubunge above Regia beats me...........a hooligang by all standards

  [​IMG]
   
 5. A

  ADAMSON Senior Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa ni baada ya machakachuzi vinginevyo huyo babu asingeweza kushinda abadani asilani
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Jiwe la Ukara, ingekuwa vema zaidi kama ungedokeza katika statistics hizi ulizotuwekea unataka tujadili kitu gani.
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  yaliyotokea JUzi
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kushinda uchaguzi ni mbinu tu- JK
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  umenukuu vibaya.kasome/sikilze vizuri ndio uje hapa
   
 10. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  kushinda ni kama 'mchezo', kweli JK ni 'jembe'! nimeipenda mkuu
   
 11. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  You may as well believe pigs fly then
   
 12. W

  WildCard JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kwa kura hizi, hicho kiti MAALUM alikistahili kabisa kuliko wengine wote. Na katika huu mwaka mmoja na ushei ameonyesha ubunge anauweza sio tu ule wa Jimbo bali hata wa Taifa.
   
 13. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Tujadili kwamba CUF, inayoisakama sana CDM kuliko CCM inaanza kufutika katika ramani ya Tz Bara!!!!
   
 14. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huyo anaitwa PAPA MTEKETA mtoto wa Lipangalala mjini Ifakara..AWIJE BAMBOO
   
 15. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #15
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,419
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  kwa kweli ninapata utata sana ninapotafakari mazingira ya ajali ya dada Regia.....

  A. kipande cha barabara kablaya Ruvu Darajani kimenyooka sana na hasa kama unatokea DSM unaona magari hata yaliyo mbali kwani uko mlimani....ILIKUWAJE AOVATEKI ILIHALI KUNA GARI LINAKUJA?

  kwa wanaosoma maandiko na kuyatafakari katikati ya mistari....

  GARI lilibingirika mara 7 na kumwacha ubongo wazi... rejea logic ya kiimani iliyo katika namba 3 na 7

  mazingira baada ya ajali

  eti alifariki dunia peke yake?

  kesi yake ya kupinga ubunge

  ilikuwa pazuri na pengine kumweka pabaya mbunge wa sasa kwani pamoja na mengi alimkashifu majukwaani kuwa ni KIWETE HATAWEZA KUONGOZA! upon udhibitisho wa hili jamaa angejifutia milele kibali cha kugombea.....

  tumeona ya Shelembi, halafu sasa Regia.....
   
 16. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #16
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  nimeipenda hii aisee.
   
 17. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #17
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Well said mate.
   
 18. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #18
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Jamani, sitaki kuhusisha uchawi na msiba wa dada huyu ila naomba nielezee kidogo mazingira wanayoishi na imani za wanasiasa wetu.

  Siasa za TZ kwa asilimia kubwa zinaongoza kwa uchawi, kisha rushwa ndiyo inafuata. Kabla mtu hajagombea anaenda kwa waganga, wanalala huko, wanalala uchi, wanawanga wanaambiwa wamepewa kinga na ushindi. Mpinzani wake akijua kaedna Handeni Tanga yeye anaenda Sumbawanga. Basi ni full kulogana.

  Hii yote inatokana na kutokujiamini - kiimani na kiuwezo. Mtu hana mbele wala nyuma ataupataje ubunge asipologa na kutumia hela kuhonga? Mtu wa kijiweni kwa mfano. Na hapa tusiseme CCM, ni vyama vyote!

  Ukijua siri zao utashangaa. Hawasafiri mpaka waulize mashetani, hawali mpaka waulize mashetani, hawaendi vikao vizito mpaka waulize mashetani.

  Hawa ni wasomi na tunategemea watuletee maendeleo majomboni mwetu. Maendeleo ya mashetani? Au maendeleo gani, ya damu na kafara?
   
 19. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #19
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mbombo Ngafu!!
   
 20. F

  Froida JF-Expert Member

  #20
  Jan 16, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Alichakachuliwa huyu Kumbe aikuwa na kura nyingi namna hiyo.
  Wana JF tumuombee Regia aende Salama na akapumzike kwa amani
  tusiingize mambo ya ushirikina jamani tuamini kwamba Mungu ndie ajuaye katika maamuzi yake,Tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi
   
Loading...