gasto genaro
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 780
- 554
Salaam wakuu,
Kama ilivyo wazi, serikali yetu hii adhimu, imekua ikitoa matamko mengi kupitia viongozi wake mbali mbali.
Kwa hakika, 99% ya matamko hayo ni yakuudhi na kukereketa!.
Tukiwa tunamaliza mwaka, embu tuangalie kauli na matamko yaliyopasua nyongo.
°Natamani malaika ashuke na kuzima mitandao ya kijamii
°Huna wa kukutetea, mimi nikisimama mahala, Mungu amesimama
Ongezea kauli zaidi zilizopasua nyongo au kukuudhi