Uchaguzi 2020 Hizi ndizo hoja zitakazomuangusha Dkt. Magufuli na kumpaisha Tundu Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

Hivi meneja wa kampeni za CCM ni nani ?
Mkuu wewe uko sawa,pengine hiyo serikali unayoipigania ikiingia madarakani utapata uteuzi wa kikazi chochote serikalini,Ila Hawa wengine wanaokufata Sasa😃😃.PAMBANIA UGALI MKUU.
 
Ndugu yangu hizi flyovers zimetumia fedha nyingi za walipa kodi wa nchi hii lakini zimeshindwa kuleta ahueni ya foleni. Ni bora zipigwe nyundo na kujenga feeder roads. Duniani kote flyovers hazijawhi kutatua tatizo la foleni ndugu yangu. Fanya utafiti utaona ninachokuambia.
Kuzibomoa? hii hapana! ila kuziacha na kujenga feeder roads ni sahihi. TAL apewe nji hii JPM apumzike!
 
Mkuu wewe uko sawa,pengine hiyo serikali unayoipigania ikiingia madarakani utapata uteuzi wa kikazi chochote serikalini,Ila Hawa wengine wanaokufata Sasa😃😃.PAMBANIA UGALI MKUU.
sisi ni watu tuliotosheka mno ! usituone humu tunatafuta haki ukadhani tunawinda vyeo , lengo letu ni kupigania haki tu
 
sisi ni watu tuliotosheka mno ! usituone humu tunatafuta haki ukadhani tunawinda vyeo , lengo letu ni kupigania haki tu
Umetosheka na wakati kila siku unalalamika humu kuwa magu kayafanya maisha yako kuwa magumu kiasi cha kuwaombea baraka wazungu,😃?
 
1602575465902.png
 
hahaha nimesoma hapa mpaka nikasema imekuwaje nkafungua na kuusoma uzi wa chizi kama huyu?

uchizi unaanzia hapa,

1. huyu jamaa hajawahi hata siku moja kuwa mkazi wa dar, ingekuwa kawai asingesema flyover hazijasaidia chochote pale ubungo

2. uhusiano upi wa kidiplomasia unaoutaka? wa mtu akuibie ndo ujue kuwa mna uhusiano mzuri? ukiwa mkali kwenye mali zako unakuwa mbaya tu, hata iwaje... na mwingine unaoutaka nahisi ni ule wa wakili wa lissu, bw amsterdam, wa kutaka wanaume kwa wanaume tunyanduane

3. bila shaka we ni moja ya wale jamaa walokuwa na vyeti feki, au la ni hopeless and jobless father.! na kama upo kazini basi punguza sana starehe... unalalamikaje mishahara haitoshi? afu mwanaume, na mpiga debe asemaje?
 
Maendeleo yawaguse watu, siyo vitu. Kanuni ya maendeleo ni kwamba kila unachofanya jiulize watu walio wengi wananufaika vipi na kitu hiki? Usijenge nyumba ukatenga chumba cha store ukasahau choo. Maana store ni ya maendeleo vitu kama vile majembe, fagio, n.k lakini choo ni kujali afya za watu. Maendeleo ni mtu kwanza! Mimi nikiendelea nitajenga nyumba nzuri, gari n.k. Siyo unanunua prado wakati watoto wanapiga miayo nyumbani, hata shule hawaendi eti unataka usafiri ukiwa umekaa kwenye gari. hizo ni akili za kitoto.
 
Ndio uhuru huo wa kuamua, una siku chache sana hadi tarehe 28 whether you like it or not JPM ndiye rais na hao makuwadi wenu ambao mliwaandaa janja yao tunaifahamu hamchomoki. You are too late.
Hivi zile fedha za umma trillion 1.5 zilizopotelea Ikulu zimerudishwa?
 
Unataka data zipi? Umeme tu kila kona ya Dar ilikuwa na magenerator madukani kelele mtindo moja mgawo wa umeme kila kona. Je, siku hizi vipi? Makusanyo ya Bandari sasa hivi yako kwenye Billion 5 na ushee kila siku achilia mbali Serikali ambayo ipo makini kwenye kila Jambo. JPM amewaacha wazungu wanatetemeka kwa sababu wanafahanu kinachofuatia. Afrika nzima itajikomboa kutokana na udhalimu wao. JPM hana mpinzani.






 
Nimepitia Twitter nimeikuta hii
Catherine Ruge Mgombea Ubunge Serengeti.

The Serengeti District Police are leading the violence against me on 10/7 they bombed me, today they punched me and kicked me while the Commission offices were humiliating me by stripping me naked, Afande Gerald has grabbed my waist and hips, this is humiliation. I swear you'lpay for this

Sasa sisi kweli watanzania tumelogwa kabisa! Polisi anabaka ofisini kwa Tume bado kimyaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom