42,000,000*2300Mkuu dola milioni 42 mbona hujainconvert fanya hivyo ili tunapokuwa vijiweni tunaadithia tuwe na confidence
Msaada sina kikokotozi42,000,000*2300
We jamaa unafikiri ni TFFPesa nyingi sana, FIFA wanavyazo gani vya mapato? Wana hela nyingi hivi.
bro..aloshnda atapitwaje mtonyo asee!?il uwe bingwa lazma upte hatua zote kumbuka kla hatua unapata mgawo..kwa hyo Argentina amebeba hela kweny kila hatuaUnamaanisha waliofikia makundi watalipwa zaidi ya alie chukua ubingwa!!!!!!??
Hakikisha ulichoandika halafu karekebishe
bro..aloshnda atapitwaje mtonyo asee!?il uwe bingwa lazma upte hatua zote kumbuka kla hatua unapata mgawo..kwa hyo Argentina amebeba hela kweny kila hatua
Billion 98 kasoro ...kweli wacha federation za wenzetu ziendelee.
morocco kaondoka na 25$ brazil na 17$ dahh...
Ndio wenye haki miliki ya kuuza maonyesho ya Tv , kila mechi moja ya kombe la dunia wanaiuza kwa Dola za Marekani 500,000 ( sawa na TSh. Milioni 1,175 au 1.175b ) kwa kituo kimoja cha Tv , sasa jiulize vituo vipo vingapi vya Tv duniani na mechi zipo kama sikosei 64, pia wanapata pesa nyingi kupitia udhamini /Sponsorship deals na mauzo ya vifaa vya michezo.Pesa nyingi sana, FIFA wanavyazo gani vya mapato? Wana hela nyingi hivi.
Asante kwa ufafanuzi.Ndio wenye haki miliki ya kuuza maonyesho ya Tv , kila mechi moja ya kombe la dunia wanaiuza kwa Dola za Marekani 500,000 ( sawa na TSh. Milioni 1,175 au 1.175b ) kwa kituo kimoja cha Tv , sasa jiulize vituo vipo vingapi vya Tv duniani na mechi zipo kama sikosei 64, pia wanapata pesa nyingi kupitia udhamini /Sponsorship deals na mauzo ya vifaa vya michezo.