Hizi ndio tatu bora. Kwa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi ndio tatu bora. Kwa nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KAUMZA, Feb 23, 2011.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Jamani ninauliza kwanini?
  Kila uingiapo JF, majukwaa yanayoongoza kwa kuwa na posts nyingi na viewers weni ni
  1. Jukwaa la siasa
  2. Mahusiano na mapenzi na urafiki
  3. Hoja mchanganyiko

  Nini chanzo??
   
 2. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Mbona jibu tayari uanalo? Uliza swali sasa!
   
 3. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  eeekh...okey bye
   
 4. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Wewe unaitwa kaumza,jina lako nani vile?yani unataka kuchekesha pipo,its better kama ungeanza na swali ila weye waanza na jibu duh.
   
 5. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  sasa si ndi hizo.
   
Loading...