Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Haka kadada kaongo jamani na kamekomaa na uongo.
Eti 2.6mil ndo mshahara wa Mhadhiri, yaani kuna watu wabishi jamani.
Kamesahau kuna Tutorial Assistant na Assistant Lecturer.
Nakuambia 2.6mil ni mshahara wa msaidizi sio Mhadhiri.
Mimi niliamua kumuacha, mbishi na hajui tu huyu mdada.
 
Mtoa mada nikupe tu TAARIFA WATUMISHI wengi NI WATUMISHI wa kawaida wasokua na vyeo

Na mshahara wa MWISHO wa mtumishi wa serikali NI sh 2,727,500/- unless km ana cheo km mkuu wa KITENGO au idara au mkuu wa taasisi msikaririshane Mambo ambayo hayapo na nkupe tu TAARIFA huyo ambaye yupo TRA mwenye degree anaeanza Kazi Hana tofauti na mwenye degree ya maendeleo ya JAMII wa Moshi vijijini

Sent using Jamii Forums mobile app
si wote kuna ma-engineer wanakula kuanzia 2M mpka 4M
mfano
Electrical engineer ,namjua jamaa mmoja wa kwenye umeme anakula 3.5 na hana idara yyte ya kusimamia
 
Sio kwamba wewe ndio unajidanganya aisee? Unabisha kitu ambacho watu tu hawawezi kuji - expose humu, nikupe mfano, unajua graduate wa degree mfano akiingia tu TRA anakula ngapi au unaweka ubishi tu? ila ngoja nikuache tu umekaa kubishana bishana sana.
Hata huko tra sio hivo Kuna watumishi wako kazini more than 15 years na hawafiki milion tatu mkuu tena na elimu juu. Msiwe wabishi bana
 
Haka kadada kaongo jamani na kamekomaa na uongo.
Eti 2.6mil ndo mshahara wa Mhadhiri, yaani kuna watu wabishi jamani.
Kamesahau kuna Tutorial Assistant na Assistant Lecturer.
Nakuambia 2.6mil ni mshahara wa msaidizi sio Mhadhiri.
unataka usikie milion kumi kitu ambacho sicho tutorial tu assistant hela yangu ndogo tu, acheni makasiriko kwangu ukitaka utajiri ujiajiri mkuu. Hyo tutorial nakwambia ya kawaida nyie ndio mkienda kazini hamfanyi kazi mnaanza wizi
 
Hata huko tra sio hivo Kuna watumishi wako kazini more than 15 years na hawafiki milion tatu mkuu tena na elimu juu. Msiwe wabishi bana
UONGO HAYUPO, WENYE MIAKA 8 sasa wanakula kuanzia 3M kwenda juu afu useme miaka 15??
 
Mimi sikupenda ile kauli ya kusema hizo ni kamba, kwanini nidanganye ktk platfom kama hii?

Ukisema salary zipo chini nakubali ila usipinge baadha ya sehemu mishahara yao.

Mwisho kabisa, kafatilie hata mishahara ofisi ya mkemia mkuu, Gvt kuna sehemu na sehemu.

Mashamba uyu kuna watu

fuel allowance tu 1m

mawasiliano 3lk

House 5lk

Basic 1.8

Huyo ni waserikali na ana miaka 4 kazin tunao maofisin
 
UONGO HAYUPO, WENYE MIAKA 8 sasa wanakula kuanzia 3M kwenda juu afu useme miaka 15??
Wapo wengi tu Sasa tena aliomba connection akahamishwa hyo sehemu na anakatibia kustaafu, nikiona watu wanadaganyana kuhusu salary humu nasema hiiiiii
 
Back
Top Bottom