Hizi ndio starehe mbili kubwa duniani kote kwa mwanaume

Maana ya Starehe ni vitu vya kukuflahisha ambavyo sio vya lazima.

Kunya ni wanaita voluntary yaani mambo ambayo umepangiwa na muumba wako kama kulala usingizi au kufa.
Starehe ni involuntary yaani ni maamuzi yako kufanya au kuacha. Mtoa mada yuko sahihi starehe ni
1. Pombe
2. Mahusiano ya mwamke au mwanamme.

Mambo ya Kula, Kulala,Kuoga, Kupumzika, Kujamba, Kunya ni ya tabia za viumbe hai. Sio Starehe. Sekondari waliitaga characteristics of living organisms.
Mkuu mbona kama umeyachanganya hayo maneno, voluntary ni kuamua wenyewe au kwa mapenzi yako, hilo lingine ni kinyume chake. Achana na lugha ya Malkia ndugu na jifiche kwenye kichaka cha uzalendo kama jiwe
 
Sawa sawa mtaalam
 
Sawa
Asante kwa kunishahihisha
 
Starehe kubwa ni kujua michezo ya kupiga hela 😅😅😅! How to make Money is the sweetest Sport...

Hio ndio starehe ambayo itampa mwanaume raha ya milele!
 
Ww ndio fala kabisq sisi hapa tunaangalia source of starehe km ukianza hoja zq namna basi hata hao wanawale toa andika kusex na hata mwingine atakuja hoja kusex sio starehe starehe ni kukojoa
we fala pesa ni chachu ya starehe!
ingekuwa hivyo ungeona watu wanalala benki wakiponda starehe za pesa

starehe zinafanywa bar, club, lodge na kwingineko
 
Back
Top Bottom