Hizi ndio SI Units za kujipatia mapenzi motomoto mjini

Duh maskini juice tuโ€โ™€๏ธ
Nadhani kuna aina ya wanawake mnawaongelea msitujumuishe wote
Lazma ataliwa tu huyo aliopewa Juice..Saikolojia ya mwanamke ni nyepesi kama nyoya la kifaranga ukijua kucheza nayo tu.
 
Alafu nlisahau kwa umri na kwa level ya maisha nlofikia wanawake wote ni sawa, hawana levels kivile, kitu unahitaji ni kuwa na mtaji kidogo tu wa kuendesha hiyo relationship....sababu kwenye hela wanawake wote wanapenda pesa
Exactly, that was what i was talking about...Unahitaji mtaji mdogo wa kufanya manipulation to get laid. Either vizawadi na Outing or just creating the romantic love situation then your on-set to spread someones legs! Utachagua to keep her or dump her after the dooms day!๐Ÿ˜…
 
Mapenzi ya hivyo huyafurahii hata kidogo.

Nikuulize swali?

Ulishawahi kuwatoa wanawake out au wakaja kwako unaona kabisa wanafurahi ila moyoni unajiambia ila hawa wanafurahia kwasababu ya ninachowapa.

Mapenzi mazuri hayahitaji msururu wa vitu.... effortless...simple.... na yanakusahaulisha mengi.


Labda kama unataka wa kuchezea tu...utawavuna wengi....hapa sikatai...

Ila mwisho wa siku kuna mapenzi baada ya sex....hii haihitaji mrundikano wa mambo.
Ila option ya kum keep mtu au kum dump si inakuwa mikononi mwako. After getting laid if your are smart utaona anaefaa na asiefaa.
 
Hahahah ombea awe anakuchukulia kama mtu wa maana kwake maana unaweza kumganda mtu ila tabia zako mbovu zikakusaliti mbele yake

ananichukulia serious isingekuwa hivyo mbona kitambo angekuwa amesha niwekea tinted
Hapo kwenye tabia nimekua malaika aisee vichekesho ni vingi hapa duniani
Wanaume nawaelewa hampendi kubanwa,asingenipa ushirikiano
 
ananichukulia serious isingekuwa hivyo mbona kitambo angekuwa amesha niwekea tinted
Hapo kwenye tabia nimekua malaika aisee vichekesho ni vingi hapa duniani
Wanaume nawaelewa hampendi kubanwa,asingenipa ushirikiano
Unajihakikishia booking kwa McGarab au sio?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Ajiandae na vituko mkishahamia Goba
 
ngoja tumalizane na Gara B kwanza
Ila simletei vituko tena nimebadilika kweli
Ubadilike kweli maana wengi mna hibernate kwa muda tu ila baada ya kuwekwa ndani mna resume tabia zenu halisi ๐Ÿ˜… hapo ndipo vidume tunafunga ndoa na ulabu
 
Exactly, that was what i was talking about...Unahitaji mtaji mdogo wa kufanya manipulation to get laid. Either vizawadi na Outing or just creating the romantic love situation then your on-set to spread someones legs! Utachagua to keep her or dump her after the dooms day!

Unajua kwenye ukweli tuwe tunasema ukweli na kama kuna tatizo sehemu fixing should start from there, unfortunately dada zetu wengi hawapend kusikia huu ukweli ila ndio ukweli.
 
Baada ya pepo mmbaya kukatiza katika mahusiano mengi mwezi wa 9 na wa 10 hapo natumai wahanga wanaendelea vizuri ila ningependa tukumbushane mambo muhimu kidogo.

Wazee SI Units za mapenzi motomoto hapa mjini ni kama ifuatavyo:
1.Pesa, Penenge, Mpunga,
Ngawira, Mtonyo, Shekeli,
Mshiko.

2. Gari, Chombo, Usafiri, Mjapani, Mwamvuli wenye matairi.

3. Makazi ya kueleweka kuishi binadamu yenye facilities zote muhimu. Iwe Ghetto au Apartment but hakikisha kitu self-contained na hapachoshi kukaa.

Wanangu wote jitahidini tuishi humo. Najua wengi mlifeli katika maeneo hayo hapo juu ila turekebishe makosa. Watoi wa tao wote wanalenga humo na ni rahisi sana kumtia mipango akikuta uko katika mazingira hayo iwe ya muda mfupi au mrefu. Tuishi humo!!!

NB: Sio lazima uwe na vyote ila hakikisha usikose Unit namba 1! Huwa inasawazisha mikingamo yote... i call it filler!
Kuwa na makali Ni muhimu Sana town. Wenye makali (shekeli ) ndio wanakula mema ya nchi
 
Shida inakujaga pale unapotaka kuwatafuna kisawasawa,linatokea limtu linakuganda hasa,lingine unaliambia tule bata makusudi kale linashika ujauzito
 
K
Shida inakujaga pale unapotaka kuwatafuna kisawasawa,linatokea limtu linakuganda hasa,lingine unaliambia tule bata makusudi kale linashika ujauzito
Kuna raia zinakuvizia ukianza kula mema ya nchi zi TAG Ubavu
 
Kuna kauli yenu ya kishujaa mnaipenda "bora kulia kwenye V8,kuliko kucheka kwenye baiskeli......",ila hongera kama haupo hivyo.
Kuna watu na pesa zao binafsi nimewakataa I can testify
Kuna vitu vingi sana tunaangalia sio pesa tu of course sio wanawake wote tupo hivyo,hawaelewi pesa ni bonus na ina uzito wake ila kama una tabia za ajabu mimi binafsi hunipati,kuteseka kisa pesa ni kitu kilinishinda
 
Back
Top Bottom