Hizi ndio SI Units za kujipatia mapenzi motomoto mjini

Kwahio we unaweza kuvumilia tutafute fyucha yetu au sio ? Utaweza lala kwenye kipande cha mkeka kweli au ndio unantafutia lawama mzee Gwakisa anitimue na barua ya posa tu!
Mtu ukimpenda, achilia mbali kwenye kipande cha mkeka, hapohapo kwa vumbi watu wanalala, mnatandika zenu kitenge, kiroho safi usingizi huooooo. Mradi tu nafsi imeridhia kwamba uliye nae ndiye
 
Mtu ukimpenda, achilia mbali kwenye kipande cha mkeka, hapohapo kwa vumbi watu wanalala, mnatandika zenu kitenge, kiroho safi usingizi huooooo. Mradi tu nafsi imeridhia kwamba uliye nae ndiye
Ndio maana halisi ya mapenzi ni maridhiano ya nafsi mbili zilizoamua kuwa pamoja.

Ila hio dhana imejifia sikuhizi hamna anayejali maridhiano ya nafsi wala nini...Pesa ndio msingi wa maridhiano si nafsi, pesa ya spea kwa ajili ya matumizi yasio na kikomo ikiwepo tu hapo you have a path to a womans heart. Hata uwe na kichwa kama fenesi au una mapungufu kiasi gani 😂😂😂 wewe kukosa mwanamke ni ndoto.
 
Aaah hiyo kwa wadangaji Sawa...... Binafsi najivunia wangu japo hana chochote
Ndio maana halisi ya mapenzi ni maridhiano ya nafsi mbili zilizoamua kuwa pamoja.

Ila hio dhana imejifia sikuhizi hamna anayejali maridhiano ya nafsi wala nini...Pesa ndio msingi wa maridhiano si nafsi, pesa ya spea kwa ajili ya matumizi ya kila aina ikiwepo tu hapo you have a path to a womans heart. Hata uwe na kichwa kama fenesi au una mapungufu kiasi gani wewe kukosa mwanamke ni ndoto.
 
Hii nakataaa, yaani uwe na pesa halafu nikikuangalia tu naona wewe ni kivuruge!!! Siwezi kukubali
Pesa si inawafumbaga akili, hata mtu akiwa kivuruge still utaona yupo perfect 😅! Acheni kutuinjoy nyi wanawake wa jf.

Watu mnao wa filter ni wale ambao mnaona hawana kitu. Hapo ndio utatolewa kasoro na kulinganishwa mpaka ukome."Yani haupo smart kabisa kama vijana wenzio wewe"..."Raha ya mwanaume akumiliki bwana"..."Yani hujiamini mpaka unaboa bana"..."Dah yani hadi najuta kuwa na wewe mwanaume una gubu kama nini"...Haya mambo hayawezi kukuta ukiwa na upepo wa pesa.
 
Pesa si inawafumbaga akili, hata mtu akiwa kivuruge still utaona yupo perfect ! Acheni kutuinjoy nyi wanawake wa jf.

Watu mnao wa filter ni wale ambao mnaona hawana kitu. Hapo ndio utatolewa kasoro na kulinganishwa mpaka ukome."Yani haupo smart kabisa kama vijana wenzio wewe"..."Raha ya mwanaume akumiliki bwana"..."Yani hujiamini mpaka unaboa bana"..."Dah yani hadi najuta kuwa na wewe mwanaume una gubu kama nini"...Haya mambo hayawezi kukuta ukiwa na upepo wa pesa.
 
Baada ya pepo mmbaya kukatiza katika mahusiano mengi mwezi wa 9 na wa 10 hapo natumai wahanga wanaendelea vizuri ila ningependa tukumbushane mambo muhimu kidogo.

Wazee SI Units za mapenzi motomoto hapa mjini ni kama ifuatavyo:
1.Pesa, Penenge, Mpunga,
Ngawira, Mtonyo, Shekeli,
Mshiko.

2. Gari, Chombo, Usafiri, Mjapani, Mwamvuli wenye matairi.

3. Makazi ya kueleweka kuishi binadamu yenye facilities zote muhimu. Iwe Ghetto au Apartment but hakikisha kitu self-contained na hapachoshi kukaa.

Wanangu wote jitahidini tuishi humo. Najua wengi mlifeli katika maeneo hayo hapo juu ila turekebishe makosa. Watoi wa tao wote wanalenga humo na ni rahisi sana kumtia mipango akikuta uko katika mazingira hayo iwe ya muda mfupi au mrefu. Tuishi humo!!!

NB: Sio lazima uwe na vyote ila hakikisha usikose Unit namba 1! Huwa inasawazisha mikingamo yote... i call it filler!
kwamba yu col it filter
 
Me sikubaliani na wewe. Unaweza ukawa na vyote ivo na usinivutie. Mwanamke anaweza akakupendea kitu kidogo tu harufu yako nzuri, uchangamfu wako, upole, busara yani vitu vya kawaida. Na nikakukataa we mwenye vyote ivo sababu ya kijana mwenye sifa ndogo tu. Ujue mwanaume akishakuwa na pesa, nyumba nzuri au gari anahisi anaweza miliki mwanamke yoyote amtakae kumbe siyo. Wapo kibao tunawapiga chini na hata mwanamke akiwa na wewe anakuwa ayupo serious ndio kila siku anakupiga vibomu, mara pesa ya hiki, mara ges imeisha, mara bby sina hiki. Lakini unakuta kuna mwanaume wake uyo awezi muomba ata elfu50, labda mpaka ampe mwenyewe. Na unakuta jamaa amepanga tu chumba kimoja. So kaka zangu tafuteni pesa fanyeni maendeleo kwa faida yako na familia yako apo baadae. Siyo kwaajili ya wanawake
Ambaye hajakuelewa akanywe K-Vant akili imkae sawa.
 
Kuna mtu nimemganda nahisi hapumui
Aisee poleni sana ndio hivyo tupo na calculations zetu huwa hatukai kiboya ‍♀️
Hahahah ombea awe anakuchukulia kama mtu wa maana kwake maana unaweza kumganda mtu ila tabia zako mbovu zikakusaliti mbele yake 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom