cmoney
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 3,552
- 5,447
we utopolo una matatizo/..hebu malizia kahawa hapo kijiweni kwako..mi nakupa reference ya source kubwa kama cnn we unaleta ujuaji..wabongo banaSawa Bwana Mkubwa hebu niambie kati ya hao 35,000, aliowaajiri kwenye Kilimo pekee kwa mikataba ni wangapi na vibarua ni wangapi?
Nipe majibu ili nikupunguzie hiyo mipasho yako mana nilikuwa nakuvuta uje huku!