Hizi ndio sababu ndoa za kileo zimekuwa ngumu na wanaume kuwa dhaifu, tusilaumu tu!

Pole sana ndugu,
Kuwa mwanaume peke yake haitoshi kwa maisha ya sasa eti kisa zamani baba zetu waliheshimiwa na mama zetu. Kama wewe ni mwanaume unayejiamini, recognize and appreciate your woman's competency, badala ya kulalamika na kuonyesha kutojiamini, tambua, kubali, heshimu na mshukuru mwanamke kwa uwezo alionao hivi sasa, ni kwa faida yako, familia yenu na jamii kwa jumla. Dunia ya sasa imebadilika nasi pia tunapaswa tunapaswa tubadilike, tena haraka sana, maisha hayawezi kuendelea kuwa kama maisha ya zamani, ugunduzi mpya umefanyika, maarifa mengi yamepatikana ambayo zamani hayakuwepo. Zama za kale zilimpendelea mwanaume zaidi kuliko mwanamke lakini hali ya sasa ni tofauti. Wanawake wengi wa sasa wameshathitisha hilo. Ukiondoa masuala ya kimaumbile yanamtofautisha mwanamke na mwanaume kama kubeba ujauzito, kuzaa, kunyonyesha, kupata hedhi nk, lakini zaidi ya hapo hakuna sababu mwanaume mzima kulalama leo kwamba apewe haki zaidi eti tu kwa kuwa ni mwanaume. Wanawake wengi leo wamesoma na wama maarifa mengi, tena kwa ushindani wa kitaaluma pamoja na hao wanaojiita wanaume. Wanafanya vizuri sana mashuleni, vyuoni na hata makazini. Hivi leo tuna madaktari, wahasibu, wahandisi, wanasheria, marubani wengi wanawake wenye uwezo mara nyingi tu zaidi ya hao waliozoea kuitwa wanaume.

Kama unataka mwanamke akuheshimu leo, JIONGEZE, onesha uanaume wako kwa uwezo wa kiakili, ubunifu, kutatua matatizo, kufanya kazi kwa bidii, fanya mambo practically ambayo yatakupa credits kutoka kwa mwanamke wako, mfano provide food and shelter for your family, protect your family, love and care for your family , be proud to hassle for your family. Heshima ya kuwa mwanaume inakuja kwa kufanyiwa kazi na haiji tu eti kisa wewe ni mwanaume unayevaa suruali. Respect is earned not granted.

By the way, just imagine what if huyo mwanamke unayemlalamikia hapa angekuwa ni dada yako?! Naamini ungeona fahari kuwa na dada wa aina hiyo, si ndio!!?? Lakini kwa kuwa ni 'mwanamke wako' unamuona tofauti, acha hizo hizo, furahia uwepo wake, uwezo wake na yote wewe na yeye furahieni maisha, maana ni mafupi mno
Hahaha...POVU!
Tulia wewe,hata usome mpk nyuma ya ubao unatakiwa uwe na heshima!Mali,uwezo wa kulisha familia,kipato kuzidiana ni bahati tu sometimes! So km jamaa hana uwezo wa kumudu familia kwa kila kitu ndio asipewe heshima kisa heshima inatafutwa sio granted?? Akili za kibashite izo
 
Kwahiyo kwako kumtia mkeo mbata ndo suluhu sio?

Hayo yote ni matokeo ya kukubali kuongozwa na macho kutokana na uzuri wanje

Tuwe makini na chaguzi zetu kabla hatujajicomitt...
Af Valentina wewe...kwa hio katika yote umeona hilo tu? Hapo kuna mengi yamesemwa ina maana swala la mwanamke kuwa mtiifu hujaliona?
 
Pole sana ndugu,
Kuwa mwanaume peke yake haitoshi kwa maisha ya sasa eti kisa zamani baba zetu waliheshimiwa na mama zetu. Kama wewe ni mwanaume unayejiamini, recognize and appreciate your woman's competency, badala ya kulalamika na kuonyesha kutojiamini, tambua, kubali, heshimu na mshukuru mwanamke kwa uwezo alionao hivi sasa, ni kwa faida yako, familia yenu na jamii kwa jumla. Dunia ya sasa imebadilika nasi pia tunapaswa tunapaswa tubadilike, tena haraka sana, maisha hayawezi kuendelea kuwa kama maisha ya zamani, ugunduzi mpya umefanyika, maarifa mengi yamepatikana ambayo zamani hayakuwepo. Zama za kale zilimpendelea mwanaume zaidi kuliko mwanamke lakini hali ya sasa ni tofauti. Wanawake wengi wa sasa wameshathitisha hilo. Ukiondoa masuala ya kimaumbile yanamtofautisha mwanamke na mwanaume kama kubeba ujauzito, kuzaa, kunyonyesha, kupata hedhi nk, lakini zaidi ya hapo hakuna sababu mwanaume mzima kulalama leo kwamba apewe haki zaidi eti tu kwa kuwa ni mwanaume. Wanawake wengi leo wamesoma na wama maarifa mengi, tena kwa ushindani wa kitaaluma pamoja na hao wanaojiita wanaume. Wanafanya vizuri sana mashuleni, vyuoni na hata makazini. Hivi leo tuna madaktari, wahasibu, wahandisi, wanasheria, marubani wengi wanawake wenye uwezo mara nyingi tu zaidi ya hao waliozoea kuitwa wanaume.

Kama unataka mwanamke akuheshimu leo, JIONGEZE, onesha uanaume wako kwa uwezo wa kiakili, ubunifu, kutatua matatizo, kufanya kazi kwa bidii, fanya mambo practically ambayo yatakupa credits kutoka kwa mwanamke wako, mfano provide food and shelter for your family, protect your family, love and care for your family , be proud to hassle for your family. Heshima ya kuwa mwanaume inakuja kwa kufanyiwa kazi na haiji tu eti kisa wewe ni mwanaume unayevaa suruali. Respect is earned not granted.

By the way, just imagine what if huyo mwanamke unayemlalamikia hapa angekuwa ni dada yako?! Naamini ungeona fahari kuwa na dada wa aina hiyo, si ndio!!?? Lakini kwa kuwa ni 'mwanamke wako' unamuona tofauti, acha hizo hizo, furahia uwepo wake, uwezo wake na yote wewe na yeye furahieni maisha, maana ni mafupi mno

Mawazo yako ni mazuri
japo naona hata wewe ni kati ya WANAWAKE wagumu kuishi na MUME
nahisi cha muhimu ni mtu kujitahidi apate mtu wanaye endana na kusikilizana.
Mtu anaye tambua nafasi ya Baba katika familia, na kujua kuwa Maisha yenye furaha hayategemei PESA ila pesa ni sehemu tu ya maisha yenye furaha
Watu wengi wamekimbilia vitu na Pesa na kuishia kwenye ndoa za matatizo (kupata watu wasio jua umuhimu wa Baba/mama katika familia) wanawazia PESA tuuuu

Watu wengi wamekuwa wakienda kinyume na mafundisho ya Mungu (Quran na Biblia) kwa kulazimisha usawa na kusahau wajibu wao katika familia...na hivyo kufanya wote kuwa Baba na ndoa nyingi kusambaratika!
 
It works like this, ila ni ngumu kupata perfect match kwa wakati. Unaokota yeyote tu mwenye nia na wengi hujifanyisha. Tabu huja baada ya mtu kutimiza ndoto ya kuvaa shela
ni bora uchelewe kulik kuwahi kuoa / olewa eti unawafurahisha wanadamu hapana subiri mpango wa mungu utimie ndio uoe /olewa.
wanaume mnakosea mnamtaka binti aliengaa na kutakata ndio uoe hujui hata amtakatishae kabla yako. napo ukioa unataka aendelee kungaaaa bila matunzo. ni msosi tu basiiiiii.
 
Hujapata drawbacks ndio maana hujaelewa nini hasa kinapelekea ugumu, you might be lucky kupata mwanamke decent aliokulia katika maadili freshi hata akiwa nacho hana dharau wala kejeli she takes it as addition tu.Huwezi kuona tabu yeyote,mi nmewakilisha majority ya waliopata wake mabomu ambao hawajakua katika maadili.. wanatake advantage ya uwezo wao kiuchumi kujitutumua mbele ya waume zao.
Word
 
Pole sana ndugu,
Kuwa mwanaume peke yake haitoshi kwa maisha ya sasa eti kisa zamani baba zetu waliheshimiwa na mama zetu. Kama wewe ni mwanaume unayejiamini, recognize and appreciate your woman's competency, badala ya kulalamika na kuonyesha kutojiamini, tambua, kubali, heshimu na mshukuru mwanamke kwa uwezo alionao hivi sasa, ni kwa faida yako, familia yenu na jamii kwa jumla. Dunia ya sasa imebadilika nasi pia tunapaswa tunapaswa tubadilike, tena haraka sana, maisha hayawezi kuendelea kuwa kama maisha ya zamani, ugunduzi mpya umefanyika, maarifa mengi yamepatikana ambayo zamani hayakuwepo. Zama za kale zilimpendelea mwanaume zaidi kuliko mwanamke lakini hali ya sasa ni tofauti. Wanawake wengi wa sasa wameshathitisha hilo. Ukiondoa masuala ya kimaumbile yanamtofautisha mwanamke na mwanaume kama kubeba ujauzito, kuzaa, kunyonyesha, kupata hedhi nk, lakini zaidi ya hapo hakuna sababu mwanaume mzima kulalama leo kwamba apewe haki zaidi eti tu kwa kuwa ni mwanaume. Wanawake wengi leo wamesoma na wama maarifa mengi, tena kwa ushindani wa kitaaluma pamoja na hao wanaojiita wanaume. Wanafanya vizuri sana mashuleni, vyuoni na hata makazini. Hivi leo tuna madaktari, wahasibu, wahandisi, wanasheria, marubani wengi wanawake wenye uwezo mara nyingi tu zaidi ya hao waliozoea kuitwa wanaume.

Kama unataka mwanamke akuheshimu leo, JIONGEZE, onesha uanaume wako kwa uwezo wa kiakili, ubunifu, kutatua matatizo, kufanya kazi kwa bidii, fanya mambo practically ambayo yatakupa credits kutoka kwa mwanamke wako, mfano provide food and shelter for your family, protect your family, love and care for your family , be proud to hassle for your family. Heshima ya kuwa mwanaume inakuja kwa kufanyiwa kazi na haiji tu eti kisa wewe ni mwanaume unayevaa suruali. Respect is earned not granted.

By the way, just imagine what if huyo mwanamke unayemlalamikia hapa angekuwa ni dada yako?! Naamini ungeona fahari kuwa na dada wa aina hiyo, si ndio!!?? Lakini kwa kuwa ni 'mwanamke wako' unamuona tofauti, acha hizo hizo, furahia uwepo wake, uwezo wake na yote wewe na yeye furahieni maisha, maana ni mafupi mno
Ndo maana wengi mnaishia kuwa singer mama.
 
Habari wadau,

Kumekuwa na tabia ya kusema kuwa wanaume wamepungua, mara hawana misimamo kwa wake zao n.k. Kwanza nianze kusema siku zote mwanawake ni kama mtoto anahitaji usimamizi thabiti ili asifanye upuuzi wowote ila hawa wa sikuhizi wamewekewa protection sana kiasi kwamba hata mkeo akizingua unaogopa kumtia mambata, ukiwaza unaeza ukaamkia central dawati la jinsia.

Tofauti na mama zetu walikuwa strong na adabu juu kuwa wakikengeuka utaratibu wa baba yake ulikuwa unaendelezwa na mume baada ya kuolewa, ni mbata tu! Na hilo waliambiwa toka nyumbani kuwa kitachowaokoa na mbata ni adabu kwa mume tu sio kingine.

Walikuwa haruhusiwi kulalamika kokote ila kuvumilia ndoa tu maana hata kurudi nyumbani hairuhusiwi kwa kesi kama hizo. Sana sana atatimuliwa akaombe suluhu kwa mumewe huko maana ndio kwake.

Siku hizi ndoa ni ngumu kwa sababu mwanamke amepewa uwezo sawa na mume wake toka katika ukuaji. Utaona mgawanyiko wa kazi ndani utakuta mtoto wa kiume anafanyishwa kazi sawa na wa kike, atadeki, ataosha vyombo, atapika n.k.

Wakati zamani mtoto wa kiume alifanya kazi zinazohusisha nguvu na akili nyingi tu huku hizi household chores zikiwa dedicated kwa mtoto wa kike. Hayo ndio matokeo ya utandawazi na upuuzi wa haki sawa katika malezi mama anapiga umbeya na watoto wa kiume kama shoga zake badala awafukuze wakakae na baba yao halafu mnakuja lalamika wanaume wa siku hizi wambea.

Impact yake ndio inakuja kujitokeza kwenye ndoa za kileo, mwanamke amelelewa katika fikra kuwa mwanaume ni sawa na yeye katika kila kitu and they overdo it kufikia stage kuwa na dharau na kiburi kingi.

Haikutakiwa kuwa hivyo, mwanamke anakuja na tabia za mashindano nyumba haikaliki. Chimbuko ni malezi home, alitetewa sana katika mambo ambayo hata yalidhalilisha uanaume wa kaka zake kisa tu kuweka usawa.

Tofauti na wale wa zamani kaka alikuwa akikoroma ni sawa na baba tu, waliambatana na baba zao na kupewa misingi na mama na dada walikuwa wanatii kauli zao. Watoto wa kiume sahizi baba akirudi wanakimbilia vyumbani na dada zao.

Mbaya katika yote mwanamke kupewa nguvu ya madaraka its against nature. Its not bad ila very foul at times ila tutafanyaje inabidi tuishi nalo, mwanamke akiwa na madaraka na kama alilelewa katika mfumo wa usawa shida yake kubwa anakuwa hatawaliki ndani ya nyumba.

Atataka akupe masharti yake flani au atakaidi yale unayompa nae ili muende sawa na ukikataa haisaidii maana hana cha kupoteza anajua ataishi tu. Ana kazi yake freshi na kigari so kukutii ni option kwake na ukithubutu kumgusa tu ustawi.

Akigeukia home ndio kabisa anapokelewa kwa kiji party cha welcome back huku wewe ukitumiwa polisi. Tofauti na mama zetu ambao adabu ndio ilikuwa msingi katika kuimarisha ndoa zao.

Kingine tunalaumu sana vijana wa kileo kuwa eti wanashindwa kuwa wanaume imara. Sasa utaanzaje kuwa imara kwa mwanamke kiburi mwenye backup ya kutosha+ malezi ya hovyo? (Ustawi, Kazi, Wazazi) kusimamia misimamo kama mwanaume ni ngumu sana ikiwa una mwanamke mmoja tu siku hizi.

Tofauti na wazee wetu naomba hili tukubaliane tu maana nina experience katika hili. Una option mbili tu, uwe na michepuko ukaze kiume na kutoa na kusimamia orders kiume ama ukubali kuwa kama zombi tu mjengoni ufate orders za mkeo pia na kujikuta unapangiwa hadi ratiba za kupewa uchi na upuuzi mwingine ambao ni non-sense!
Upo sahihi hata sheria ya kugawana mali nusu kwa nusu inawapa kiburi kwa kifupi hakuna haja ya kuoa ukioa ujiandae kuvurugwa kiuchumi.
 
Hujapata drawbacks ndio maana hujaelewa nini hasa kinapelekea ugumu, you might be lucky kupata mwanamke decent aliokulia katika maadili freshi hata akiwa nacho hana dharau wala kejeli she takes it as addition tu.Huwezi kuona tabu yeyote,mi nmewakilisha majority ya waliopata wake mabomu ambao hawajakua katika maadili.. wanatake advantage ya uwezo wao kiuchumi kujitutumua mbele ya waume zao.
bro inawezekana tumetembea na mwanamke mmoja. nakuelewa vizuri sana.
 
Hujapata drawbacks ndio maana hujaelewa nini hasa kinapelekea ugumu, you might be lucky kupata mwanamke decent aliokulia katika maadili freshi hata akiwa nacho hana dharau wala kejeli she takes it as addition tu.Huwezi kuona tabu yeyote,mi nmewakilisha majority ya waliopata wake mabomu ambao hawajakua katika maadili.. wanatake advantage ya uwezo wao kiuchumi kujitutumua mbele ya waume zao.
Tatizo umemletea mkeo ndoa ya kizamani kwenye maisha ya kisasa,..haina budi kujiadjust..mbna mke akichangia pesa kwny familia ama akijigharamia ama watoto penyewe hamlalamiki?.,
 
Hahaha...POVU!
Tulia wewe,hata usome mpk nyuma ya ubao unatakiwa uwe na heshima!Mali,uwezo wa kulisha familia,kipato kuzidiana ni bahati tu sometimes! So km jamaa hana uwezo wa kumudu familia kwa kila kitu ndio asipewe heshima kisa heshima inatafutwa sio granted?? Akili za kibashite izo
Km ni akili za kibashite mbna mwalalama kaka zangu

Kuna jambo upande wenu hamjalikubali ndo mana mnapata shida sana..
Wanawake wengi mbna tushakubali ni ngumu mume kuprovide kiiiila kitu unachohitaji unless awe mengi au bakhresa...ukileta style za kizamani mtaishi maisha duni

mbna sie tushakubali kufanya kazi kwa bidii kazi ambazo zamani walifanya wanaume tu?.na maisha yanaenda

Unataka uone ndoa ya kizamani miaka hii..mambo yamebadilika..poleni kwa yanayowakuta
 
Back
Top Bottom