bukoba04
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 1,402
- 1,291
LAZIMA UTAYACHUKIA MAGAZETI TU.
1.Sukari imekushinda.
2.Mikopo elimu ya juu imekushinda.
3.Kuhamia Dodoma kumekushinda.
4.Nyongeza ya Mishahara imekushinda
5.Mgogoro wa Zanzibar umekushinda.
6.Siku ya usafi imekushinda.
7.Mahakama ya mafisadi imekushinda.
8.Ajira mpya zimekushinda.
9. Kutokubagua vyama vya siasa kumekushinda.
10. Katiba mpya imekushinda.
11. Kumkamata Lowasa na kuthibitisha kuwa ni fisadi kumfunga aliyedaiwa na chama chako kuwa ni fisadi kumekishinda.
12. Mafisadi wa awamu ya pili,tatu,na nne wamekushinda.
13. Ulipokuwa bukoba ulisema na kuchomelea makarai ni kiwanda.
14. Kugawa milioni 50 kila kijiji kumekushinda.
15. Mbaya kuliko zote ni kuwa mtu wa wanyonge kumekushinda.
....huko Shinyanga washapewa vidonge vyao,,debe moja la mahindi kwa ng,ombe watatu.
Endeleeni kufyatua watoto tu watasoma bure
Kagera wamechakachukiwa rambi rambi zao na kutakiwa wabebe mzigo wa uliotokana na janga la tetemeko la ardhi.
ongeza vingine vilivyomshinda Mtukufu, asiyejaribiwa kwa upande wako