Hizi ndio mbinu za kutumia ili kuwagundua na kuwakamata mafisadi

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,316
8,227
Ni njia zipi unaweza zitumia kuwadhibiti na kukamata mafisadi, wala rushwa, na wahujumu uchumi hata kabla hawajavamia fedha za umma. Fuatana na mimi.

Ili kuweza kupambana na fisadi, ni lazima utumie mbinu ya "Mtu/Watu (viongozi wa taasisi)" nyuma yake kuwe na mtu (mfuatiliaji), nyuma ya mfuatiliaji wa kwanza kuwe na mfuatiliaji wa pili na nyuma ya mfuatiliaji wa pili kuwe na mfuatiliaji wa tatu (1 /3).

Sharti ni moja, katika safu ya hao watu watatu hakikisha hawajuani (Yaani nikiwa namaana kwamba hawa wote hawapaswi kujuana) inakua ni siri.

Kisha kila mtu kwa wakati wake akabidhi ripoti ya kazi uliyomtuma kwako na pia hakikisha repoti zote zinashughurikiwa kwa uharaka.

Kwa kutumia mbinu hii ndani ya mwaka mmoja tu ufisadi ndani ya Taifa letu utakua ni historia.

Moja ya sifa kubwa ya mbinu hii, inapunguza kulindana. Kwasababu asilimia 98 ya watanzania hasa watumishi na wanasiasa hupenda hulindana kwa kiasi kikubwa hasa ikitokea kuna upotevu wa fedha.
 
Hiyo akili ya kimaskini sana. Kwa fikra hizi Meneja Wa Makampuni utaendelea kuwa maskini tu. Fanya kazi acha majungu
 
Kukiwa na dalili za ufisadi kwa watu 400 unahitaji wafuatiliaji 1200, na hawa wote uwalipe hata kama hawataleta matokeo tarajiwa.
 
Back
Top Bottom