Hizi ndio animation movies kali ambazo sio za kukosa

Juzi niliangalia animation moja inaitwa the breadwinner.

Yaani kuimaliza tu hapo hapo nimeangalia tena. Netflix ipo
Screenshot_20220517-232433_Netflix.jpg
 
Hakuna animation iliyowahi kutengenezwa Na itakayowahi kutengenezwa ikaifikia Rango
mmhhh! hii naona inasifiwa sana
sijui mnawezaje kungali kinyonga
kinaongea aisee ... anyway ngoja nijaribu kuangalia hiyo rango nione hasa nini mnafaidi huku upande wa animation
 
mmhhh! hii naona inasifiwa sana
sijui mnawezaje kungali kinyonga
kinaongea aisee ... anyway ngoja nijaribu kuangalia hiyo rango nione hasa nini mnafaidi huku upande wa animation
ukiicheki weka subtitles
 
1 white snake 1&2
2 kung fu panda 1,2&3
3 Ratattoule
4 Rango
5 Peter the rabbit 1&2

Hakuna animations zilizotikisa na kuja kutikisa kama hizi,
 
Aliyecheki puss in boot the last wish anipe feedback
 
1 white snake 1&2
2 kung fu panda 1,2&3
3 Ratattoule
4 Rango
5 Peter the rabbit 1&2

Hakuna animations zilizotikisa na kuja kutikisa kama hizi,
Rango imekaa kipekee sana
 
Back
Top Bottom