Hizi ndio athari za kumzushia baba mwenye watoto kwamba amemtoa kafara mke wake

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,105
27,088
Jamaa ana MKE wamezaa watoto wawili watatu. Yawezekana watoto bado wadogo au wamesha kua kua.

Then ghafla mke anafariki Dunia.

Maneno ya watu mitaani : Mume kamtoa mke wake kafara.

Hii NI hatari kubwa Sana shekhe wangu.

HAINA TOFAUTI NA RAMLI CHONGANISHI.

Una mchonganisha baba na watoto wake.

Hakuna mtoto anae weza kukubali mama ake mzazi atolewe kafara/ auliwe na mtu yotote yule hata Kama mtu huyo ni baba ake mzazi.

WHAT WILL BE THE REACTION:

Watoto wakikua lazima watamuua baba Yao Kama kulipa kisasi cha kifo cha mama Yao

it doesn't matter whether baba Yao alimtoa mama Yao kafara kweli au ni uzushi wa mitaani but as long as it has seated in the brains of the children , kwamba baba Yao ndo kamuua mama Yao, watoto lazima watatafuta kisasi Tu.

Na KWA sababu hawajui ulozi basi watamuua kwa njia za kawaida . Sumu, kumshambulia etc, whichever come first.

Mbali na watoto hata ndugu wa Marehemu pia wanaweza ku avenge.

Maneno yanasemwa mitaani, Yana andikwa mitandaoni, watoto wanaona. Hata kama bado hawajaanza kuwa na access ya kutumia mitandao ya kijamii but wanakua.

Utafika umri watajua Tu . Na wakijua lazima watafute kulipa kisasi.

Tunapo toa maoni yetu kuhusu mtu fulani kuhisiwa kumtoa kafara mke wake au ndugu yake tunapaswa kufahamu kwamba tunacho kifanya ni KUTENGENEZA uadui mkubwa Sana Kati ya mtu huyo na watoto wake

Na wewe unaesoma makala haya Kama umefiwa na MKE na mtaani kwenu watu wanazusha kwamba wewe ndio umemtoa mke huyo kafara na mke huyo ulizaa nae watoto, just watch urself.

Kuwa na uhakika kwamba watoto wako wakiwa wakubwa lazima watamuua revenge. Njoo just njoo mvua they must revenge

Kama hauna mkono wako kwenye kifo cha mkeo basi Mungu atakulinda Lakini Kama kweli ulihusika na kifo cha MKE wako basi usijione mjanja hata kidogo. The victory of evil over good is just for a while. Mwisho wa siku lazima watoto wako walipize kifo cha mama Yao. I can put one hundred percent to each and every letter that constitute my thread.

Kabla sija mjua Yesu nilikuwa najihusisha na ulozi.

Familia nyingi Sana watu wamefarakana kwa sababu ya shutuma Kama hizi.

Halafu dada zangu mlio olewa na wanaume chimba fukia, siku ukihisi umetupiwa jini usiende kwa waganga. Nenda kwa Yesu. Nenda kanisani madhabahuni ukaombewe. The effect of evil spirit attacks can only be reversed by Jesus Christ

Jesus is a very strong and powerful authority in the realm of the spirit.

All the Demons and Evil spirits recognize the authority of Jesus

Only Jesus have authority over the demons.

Sword of God, hold not thy peace until there is destruction in the camps of all wicked people who seek to sacrifice the bloods of other people.

In the name of Jesus Amen.

mods please msiunganishe Uzi huu na nyuzi nnyinginei
 
Akigombea Ubunge tutajua kweli kamtoa kafara kweli. Maana Tale Tale ni chawa wa wasafi na sio meneja.
 
Wabongo wanajua kuupepeta sana. Hakuna mtu hati miliki na dunia.
 
Jamaa ana MKE wamezaa watoto wawili watatu. Yawezekana watoto bado wadogo au wamesha kua kua.

Then ghafla mke anafariki Dunia.

Maneno ya watu mitaani : Mume kamtoa mke wake kafara[SUB]. [/SUB]

[SUB]Hii NI hatari kubwa Sana shekhe wangu.[/SUB]

[SUB]HAINA TOFAUTI NA RAMLI CHONGANISHI.[/SUB]

[SUB]Una mchonganisha baba na watoto wake. [/SUB]

[SUB]Hakuna mtoto anae weza kukubali mama ake mzazi atolewe kafara/ auliwe na mtu yotote yule hata Kama mtu huyo ni baba ake mzazi.[/SUB]

[SUB]WHAT WILL BE THE REACTION:[/SUB]

[SUB]Watoto wakikua lazima watamuua baba Yao Kama kulipa kisasi cha kifo cha mama Yao [/SUB]

[SUB]it doesn't matter whether baba Yao alimtoa mama Yao kafara kweli au ni uzushi wa mitaani but as long as it has seated in the brains of the children , kwamba baba Yao ndo kamuua mama Yao, watoto lazima watatafuta kisasi Tu.[/SUB]

[SUB]Na KWA sababu hawajui ulozi basi watamuua kwa njia za kawaida . Sumu, kumshambulia etc, whichever come first.[/SUB]

[SUB]Mbali na watoto hata ndugu wa Marehemu pia wanaweza ku avenge.[/SUB]

[SUB]Maneno yanasemwa mitaani, Yana andikwa mitandaoni, watoto wanaona. Hata kama bado hawajaanza kuwa na access ya kutumia mitandao ya kijamii but wanakua.[/SUB]

[SUB]Utafika umri watajua Tu . Na wakijua lazima watafute kulipa kisasi.[/SUB]

[SUB]Tunapo toa maoni yetu kuhusu mtu fulani kuhisiwa kumtoa kafara mke wake au ndugu yake tunapaswa kufahamu kwamba tunacho kifanya ni KUTENGENEZA uadui mkubwa Sana Kati ya mtu huyo na watoto wake [/SUB]

[SUB]Na wewe unaesoma makala haya Kama umefiwa na MKE na mtaani kwenu watu wanazusha kwamba wewe ndio umemtoa mke huyo kafara na mke huyo ulizaa nae watoto, just watch urself. [/SUB]

[SUB]Kuwa na uhakika kwamba watoto wako wakiwa wakubwa lazima watamuua revenge. Njoo just njoo mvua they must revenge [/SUB]

[SUB]Kama hauna mkono wako kwenye kifo cha mkeo basi Mungu atakulinda Lakini Kama kweli ulihusika na kifo cha MKE wako basi usijione mjanja hata kidogo. The victory of evil over good is just for a while. Mwisho wa siku lazima watoto wako walipize kifo cha mama Yao. I can put one hundred percent to each and every letter that constitute my thread.[/SUB]

[SUB]Kabla sija mjua Yesu nilikuwa najihusisha na ulozi. [/SUB]

[SUB]Familia nyingi Sana watu wamefarakana kwa sababu ya shutuma Kama hizi. [/SUB]

[SUB]Halafu dada zangu mlio olewa na wanaume chimba fukia, siku ukihisi umetupiwa jini usiende kwa waganga. Nenda kwa Yesu. Nenda kanisani madhabahuni ukaombewe. The effect of evil spirit attacks can only be reversed by Jesus Christ [/SUB]

[SUB]Jesus is a very strong and powerful authority in the realm of the spirit.[/SUB]

[SUB]All the Demons and Evil spirits recognize the authority of Jesus [/SUB]

[SUB]Only Jesus have authority over the demons.[/SUB]

[SUB]Sword of God, hold not thy peace until there is destruction in the camps of all wicked people who seek to sacrifice the bloods of other people.[/SUB]

In the name of Jesus Amen.

mods please msiunganishe Uzi huu na nyuzi nnyinginei
"Waongo na walozi ni watu wa kuchoma" - Franco Luambo Makiadi
 
Umeongea vizuri.But you should know that there is a reason for action. Likitokea jambo zuri basi kuna msingi wa jambo zuri lililowahi fanywa,na likikutokea jambo baya jua kuna msingi wa jambo baya liliwahi fanywa.

Wanadamu tumeumbwa na Spirit,Soul and body. The spirit we have is able to smell the good and the bad about ourselves or our fellows. Usichukulie poa unaposikia watu wananong'ona.
 
Pengine usilolijua ni kama usiku wa giza.

Sikubaliani wala sikatai ila hivyo vitu vipo.

Wapo watu wanazini na vichaa ilimradi afanikiwe.

Wengine wanazini na ndugu wa damu au mtoto aliyemzaa ali afanikiwe.

Wengine wana uwa wale wawapendao kwa roho moja ili wafanikiwe.

Simjui tale mbali ya kumsoma soma tu mitandaoni ila kipindi hiki cha kufiwa na mkewe nimemsoma sana na tuhuma zake nimezipitia pitia sana.

Kilichonishangaza zaidi ni pale alipohojiwa na kujieleza kuwa wakati mkewe anaumwa yeye tale alihamia kwa rafiki yake maana nyumbani watoto wanamuuliza baba mama yuko wapi.

Sikuwahi ona au kusikia mtu kuwakimbia wanae kwa sababu kama hiyo hasa ukiwa baba.

Nikahisi ukute hata hao wanae alishawafanyia ushetwani kiasi cha aibu.

Na pale mkewe alipoweza kuwakabidhi watu baki yaani makonda na joketi akisema, buriani niangalieni wanangu.

Ni mengi nimeyaona au kuyasoma.

Mungu ampe kauli thabiti marehemu.
 
Well said

Tatizo kubwa kwetu sisi wabongo ni midomo yetu haitulii.Yaani kuna watu asipoongea na kuonekana yeye ametoa hiyo habari basi anaweza akaugua kabisa.
Watu wanachonga bila kujua kitu wanachotengeneza mbele gharama yake ni kubwa.
Na kushabikia haya mambo au kusambaza taarifa usizo na uhakika nazo muda mwingine kutakugharimu wewe msambazaji.
 
Back
Top Bottom