masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 15,675
- 12,339
Deleted deleted deleted
Wapi huko, mbona huku kimara temboni baridi saafi nakanyaga kilo ya noah na bia kadhaa na mvua inayesha safiJoto zito kwa kweli....hapa ni kuenda kulima tu sio kulimana kwa kweli....
[HASHTAG]#kutoka[/HASHTAG] likizo ndefu
Tandale kwa tumbo!!! Huko
Nilikua na majukumu mazito sana ya maishaKaribu sn mama.
Jamani nimekutafutaaaa hadi basi.
Ulikuwa wp jamani?
Mmmh jamani ndo hukuaga?Nilikua na majukumu mazito sana ya maisha
Nimemaliza bana,,,,,ila nimepamis sana hapaMmmh jamani ndo hukuaga?
Nimeuliza watu kimyaaa!!
Nikitaka kumuuliza miss chagga pengine ana taarifa zako naye kaifunga PM.Pole Kwa majukumu dear.
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Kiukweli sio ile barid ya mvuaWapi huko, mbona huku kimara temboni baridi saafi nakanyaga kilo ya noah na bia kadhaa na mvua inayesha safi
Ninaenda kulima bwana....nimekuta mambo yako kule biashara dah nimesoma tangu asubuhi afu nimesoma page kama kumi hivi.....naona nikalime bwana aisee [HASHTAG]#ontario[/HASHTAG]Welcome back
Karibu,siku hizi kuna mtu anaitwa joseverest huwa ni wa kwanza kureply kila Uzi.Nimemaliza bana,,,,,ila nimepamis sana hapa
Aiseee sio zile baridi za mvua,,hiz za kulimamasai dada
You're missed.
Uwepo wa joto unategemea na location na nyumba tuu. Huku kwetu dar kijijini dah baridi plus tope
Ninaenda kulima bwana....nimekuta mambo yako kule biashara dah nimesoma tangu asubuhi afu nimesoma page kama kumi hivi.....naona nikalime bwana aisee [HASHTAG]#ontario[/HASHTAG]
Hahaha yaani kila uzi...duh masomo anazingatia kweliKaribu,siku hizi kuna mtu anaitwa joseverest huwa ni wa kwanza kureply kila Uzi.
Hajafanya hivo hapa inasadikika ni form 4
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Tusaidie kulimaHuko Dar tuwaelewe vipi sasa
Mvua ikinyesha kidogo tu mnalalama baridi, now kuna joto bado mnalalama!
Tuwasaidiaje sasa
Sana aiseeeNi vizuri tena kimbia uanze kwenye huu msimu utembelee baraka za mvua.
All the best.