Hizi mvua zinakuja na joto kali,hamuwezi lala mchana

Karibu sn mama.
Jamani nimekutafutaaaa hadi basi.
Ulikuwa wp jamani?
 
Joto zito kwa kweli....hapa ni kuenda kulima tu sio kulimana kwa kweli....
[HASHTAG]#kutoka[/HASHTAG] likizo ndefu
Wapi huko, mbona huku kimara temboni baridi saafi nakanyaga kilo ya noah na bia kadhaa na mvua inayesha safi
 
Ninaenda kulima bwana....nimekuta mambo yako kule biashara dah nimesoma tangu asubuhi afu nimesoma page kama kumi hivi.....naona nikalime bwana aisee [HASHTAG]#ontario[/HASHTAG]

Ni vizuri tena kimbia uanze kwenye huu msimu utembelee baraka za mvua.

All the best.
 
Huko Dar tuwaelewe vipi sasa

Mvua ikinyesha kidogo tu mnalalama baridi, now kuna joto bado mnalalama!
Tuwasaidiaje sasa
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom