Hizi lugha za hawa mabondia zina maana gani?

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,373
Wakuu,

Kuna hizi kauli wanatumia hawa mabondia zina maana gani na lugha za kabila gani?

Dulla mbabe "Afile munu asigale munu"

Twaha Kiduku " Mako dinda Mako Stamina"

Kama nimekosea mtanirekebisha.

Asante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom