Hizi komedi za akina joti kwanini hawashirikishi na wanawake katka Komedi zao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi komedi za akina joti kwanini hawashirikishi na wanawake katka Komedi zao?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 9, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,610
  Trophy Points: 280  hizi Komedi wanazofanya akina Joti na kundi lake kwanini wanawake wanakuwa hawapo? mimi ninajiuliza hakuna wanawake kwanini jamni?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  wanajidai wanawea kila kitu....
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,610
  Trophy Points: 280
  Dume zima kujifanya kama mwanamke kwanini jamani?

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Hivi yule mwenzao mgonjwa anaendeleaje?? Kitambo sasa Nimeacha kuangalia hii kitu
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,610
  Trophy Points: 280
  Mkuu.@Facilitator sijuwi anaendelea vipi? kwanini umeacha kutoangalia hizi komedi za kibongo?
   
 6. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Ni kutokana na muda tu mkuu, mara nyingi mida hiyo huwa bado sijafika home. Otherwise sina ugomvi na local talents zetu.
   
 7. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Dah hii kali
   
 8. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  labda ni wanaume wanaotumia dume.
   
Loading...