Hizi kesi zimefikia wapi?

Shukurani

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
251
11
Kumekuwa na kesi mbili za mauaji zilizowahusisha watendaji wakubwa serikalini. Ya kwanza ni kesi ya Zombe aliyetoa amri ya kuuwawa vijana wenzetu kwa risasi na askari polisi,kesi hii ilikuwa ikiendelea pale mahakama kuu,imefikia wapi. Ya pili ni kesi ya Ditopile,aliyemtwanga risasi ya kichwa dereva wa daladala,kesi hii ilivutia sana vyombo vya habari na wananchi wakawa wanasubiri kusikia hukumu,ndugu huyu akapewa dhamana,kesi yake imefikia wapi?
Mwenye data,naomba
 
hapo patam maana Ditopile hata sielewi anafanya kazi gani maana mara nyingi ameonekana katika misafara ya wanasiasa hapa nchini sasa inakua inanipa ugum wa kutambua hatma ya hiyo kesi na jamii imeamuaje kuhusu Bro Dito,
Kuhusu Zombe nadhani kitachofuata ni sisi wananchi kuchukua hatua mkononi maana hata mahakama inaelekea kubinafsishwa hala na waandishi wetu nao ni mashabiki sana hizo habari hata hawaziandiki tena...Kazi kwako Kubenea maana ni mmoja wa waandishi ambao sisi jamii tunawatambua
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom