Shukurani
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 251
- 11
Kumekuwa na kesi mbili za mauaji zilizowahusisha watendaji wakubwa serikalini. Ya kwanza ni kesi ya Zombe aliyetoa amri ya kuuwawa vijana wenzetu kwa risasi na askari polisi,kesi hii ilikuwa ikiendelea pale mahakama kuu,imefikia wapi. Ya pili ni kesi ya Ditopile,aliyemtwanga risasi ya kichwa dereva wa daladala,kesi hii ilivutia sana vyombo vya habari na wananchi wakawa wanasubiri kusikia hukumu,ndugu huyu akapewa dhamana,kesi yake imefikia wapi?
Mwenye data,naomba
Mwenye data,naomba