Hizi kelele za milipuko hapa Tanga Mjini ni za nini?

Taarifa..

Nimefatilia hii milio kama yabunduki mpaka inapotokea nimekuta kumbe niwahindi wanasikukuu yao nakibari wanacho kabisa chakufanya hivyo.

Sio wewe unakuja kuulizia huku badala yakuifatilia hiyo milio. Wanaume wapwani mnaferi wapi?
 
Hata huku dar mambo ni hayo hayo.takribani nusu saa imepita tokea saa nne kamil usiku huu.bado wanalipua mafataki yao
 
Diwali is called the Festival of Lights and is celebrated to honor Rama-chandra, the seventh avatar (incarnation of the god Vishnu). It is believed that on this day Rama returned to his people after 14 years of exile during which he fought and won a battle against the demons and the demon king, Ravana.
 
Ni sikukuu ya wahindi inaitwa Diwali wanaadhimisha kwa kupiga baruti,kumbe waoga halafu mnataka kukinukisha,wenzenu wanaochochea vurugu wako Ubeligiji.
 
Diwali is called the Festival of Lights and is celebrated to honor Rama-chandra, the seventh avatar (incarnation of the god Vishnu). It is believed that on this day Rama returned to his people after 14 years of exile during which he fought and won a battle against the demons and the demon king, Ravana.
Kwani umeolewa na baniani au ndio elimu kwa njia ya mtandao kama Google n.k
 
Back
Top Bottom