Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 18,954
- 55,048
Wakuu kuna milio ya kama milipuko, yaani risasi au mabomu inaendelea hapa Tanga Mjini mwenyewe kujua tafadhali atujuze kinachoendelea
Bro wewe ndo upo huko,nenda utuambie
Inawezekana ni fataki usihamaki sana hata jana chuga zilipigwa!
Me nipo kange ila kupo shwariii sanaa
Wakuu kuna milio ya kama milipuko, yaani risasi au mabomu inaendelea hapa Tanga Mjini mwenyewe kujua tafadhali atujuze kinachoendelea
Ni sherehe za wahindi kumbe...wanasherehekea "DIWALI"Mimi nipo maeneo ya stand ya zamani hapa bado nasikia kelele za milio zinatokea maeneo ya forodhani
Unakuwaje kama mwanaume wa dar?Hapana aisee,hapa nilipo sitoki
Jana nilisikia mshindo nikajua ni gari imeburst tairi skutilia hata maanani
Ni sherehe za wahindi kumbe...wanasherehekea "DIWALI"
Kunasherehe za hawa wahindi..ni sikukuu yao sijui
Leo hujasikia madam