Hizi kejeli baada ya dhuluma ipo siku zitalipwa

Kwani unafikiri ni wapuuzi wangapi wanaofanya hayo maamuzi hawazidi hata wawili karma is a bitch tuko haii sisi inshallah tutaona kuna mmoja ndio kijana mwenzetu kbsa namuonea huruma sana
Surely a day is coming,whereas CCM and her henchmen gonna pay.........!!!!
 
Hizi thread za kulalamika na kulialia sijui zitaendelea hadi mwaka gani mana kila.siku yaleyale na uzuri siku hizi mnajua kabisa mapema mambo yatakuaje mbeleni ila bado mnajipa matumaini yakijinga badae mnakuja tena kulialia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom