BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,704
- 6,499
Kumekuwa na tabia sasa ya Wafanya biashara kuwa nao msatari wa mbele kuhujumu Democrasia nchini.
Kuna pia Makampuni ambayo yanashiriki kuhujumu Democrasia.
Swali langu ni kwamba Je wapenda haku hatuna cha kuwafanya hawa?
Tuendelee kuwaona wakihujumu Democrasia na sisi tuishie kulalama tu?
Tufanye jambo ambalo litakujankuwapa funzo na litatoa funzo kwa wafanya biashara wengine.
Mfano;
Kule Iringa tunaambiwa project ya kununua Madiwani inasimamiwa na ASAS, hawa wana product za Maziwa.
Vodacom mara nyingi sana imetajwa kuhujumu,
Kuna Mabenki nayo yanatajwa kufanya hujuma ya Democrasia Tanzania.
Ni wakati sasa wa kufanya kitu ili wajue watu tupo na hatupendezwi na wanacho fanya.