Hizi kampeni za Hamonize kwa Magufuli kabla ya muda ni sahihi?

Yaani narudia kusema hakuna haja ya kujiandikisha wala kupiga kura kuanzia sasa.

Mbio za mwenge zimekuwa kampeni na kusifu na kuabudu kwanini mbio hizi zinakuwa za kichama badala ya kitaifa
Hajafanya vile kwa Bahati mbaya.kumbu kumbu ya kifo cha Baba wa Taifa wamezigeuza kuwa kumbu kumbu za aliye Hai.
 
Maadhimisho ya Nyerere lkn uwanjani anaimbwa na kusifiwa mtu mwingine.

Ni maajabu.
Jamani hata mie nashangaa! Sasa ni kumbukumbu ya Nyerere au Magufuli day? Hivi hizi sifa ambazo hazipo yeye anajisikiaje? Haoni aibu hata kidogo kuwa huku ni kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa?
Lazima kuna dish kucheza kidogo kama haya yanaonekana ya kawaida kwake!
 
huyu harmonize cku c nyingi atakuwa mayonize ana shobo sana
IMG_20191014_142150_139.jpeg
 
Back
Top Bottom