commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,952
Sasa hivi naona LIVE bungeni dodoma kupitia TBC,wenyeviti wa kamati za bunge wakiwakilisha taarifa zao,inavyoonekana ni kama wamewafunika mawaziri wa serikali ya ccm,je kuna haja ya kubadili katiba tuanze kuwa na wenyeviti wa kamati badala ya mawaziri?"
inavyoonekana wao wana uchungu zaidi na taifa kuliko mawaziri wetu.
inavyoonekana wao wana uchungu zaidi na taifa kuliko mawaziri wetu.