Hizi kamati na bodi huko bungeni ni kero kwa watz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi kamati na bodi huko bungeni ni kero kwa watz

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kisendi, Feb 15, 2011.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mimi kama mtanzania nasikitika sana hizi kamati na bodi zinazoundwa bungeni ni kulipana posho tu hakuna lolote, Juzi January Makamba wameenda kutembelea Bwawa la Mtera wamekuja na jipya gani ili hali sisi tunaumia tu kukosa umeme hata vibanda vyetu hatuingiza hata sh?? Leo Tena Spika anasema wataenda MTERA NA JOHN MNYIKA, NAKUOMBA MNYIKA USIENDE MAANA HALI YA MTERA INAFAHAMIKA. MWISHO SISI KAMA WATZ TUNACHUKUA HATUA GANI??


  Mimi binafsi nakwera na hizi kamati, MATATIZO YAKO PALE PALE.
   
Loading...