Hatuna umoja na upendo.Rwanda and Uganda and Burundi bado wanasuguana.unajiuliza sasa nini faida ya kuwa EAC!!
Sisi tuko SADC na mwenyekiti ni Rais wa JMT, Afrika Kusini ni moja ya nchi za SADC. Wamekamata ndege yetu eti kwa sababu tunadaiwa.
Je, tulipewa notification juu ya kesi hii?
Je, uwanja wa ndege unalindwa na mahakama?
Jibu ni kwamba South Africa ambayo ni member wa SADC imekamata ndege yetu. Sasa najiuliza kuna faida gani kuwa SADC?
Tulikubaliana kuwa tutabadilishana wafungwa.Kwanini mahakama ya SA wasingewasiliana na mahakama yetu kama kweli SADC tuna umoja?
Hii inadhihirisha kuwa Jumuiya zetu bado changa sana kuikomboa Afrika kutoka utumwa wa umaskini! Uchumi wa SA uko juu kuliko wa Tanzania lakini bado unakandamiza maskini!! This is business.
Huyo mkulima akilipwa hizo bilioni SA itachukuwa chake (kodi).
Ni shauri kuwa tunapotafuta masoko ya ndege zetu tujihakikishie kuwa hatudaiwi na nchi hizo au watu wa nchi hizo.