Hizi hotuba za kisiasa za Rais Magufuli zitatuponza. Tuchague mambo ya kusema hadharani

Tunawalipizia na wao walikataa kumtambua Babu wa Loliondo na dawa yake.
This is the best time to prove that we can't exist on our own as a society we need leaders. At trying times like this it's when we sit back and review our values and process of selecting and vetting our leadership process. The best we can do is learn.

Vilaza ni changamoto kubwaaaaaa
 
Magufuli ni Raisi wa aina yake, siyo mtu wa kumumunya maneno kuogopa mabeberu watamfikiriaje. Kwa Africa hadi sasa sijaona Rais mwenye uthubutu Kama huo, maraisi wengi wa Africa ni wanafiki wanaojipendekeza kwa mabeberu wakiogopa kusitishiwa misaada...
This is the best time to prove that we can't exist on our own as a society we need leaders. At trying times like this it's when we sit back and review our values and process of selecting and vetting our leadership process. The best we can do is learn.

Vilaza ni changamoto kubwaaaaaa
 
Tunaweza tukasikilizwa au hapana, ukweli ni kwamba rais anatakiwa kusaidiwa jinsi ya kuchagua maneno ktk majukwaa ya kisiasa. Tunaona jinsi Rais anavyotumia jukwaa na kujisahau kwamba maneno ya rais hutafsiriwa na ofisi zote nchini na kuvuka mipaka...
Kwani huyu Jamaa yetu wazungu walimfanyaje na kwanini anataka kutuaminisha watu wote kuwa wazungu ni maadui zetu?
 
Hakuna kitu kama hicho.Hizo zilikuwa ni imani zetu sisi watoto wadogo zamani wakati wa chanjo, kipindi hicho tuko chekechea.Imagine leo hii lijitu likubwa na ndefu zake zilizojaa mvi tena ni Rais bado lina imani hizo za kitoto!
Labda Jamaa walimfanya kitu wakati alipopita ujerumani,maana chuki zake kwa mzungu hazina tofauti na chuki za Hitra kwa wayahudi,sema tu hana uwezo ila wazungu wangekoma
 
Trump aliwahi kusema uozo sana kwa kutaka mwili wa binadamu ufanyiwe disinfection! Lakini wao wana uwezo wa kujinyoosha. Dunia kipindi hiki imejionea uongozi wa ubunifu wa kiwango fulani lakini walioendelea wana uwezo wa kurudi kwenye mstari. Sisi , sina hakika kama tunaweza kurudi.

Kwa kuangalia michango ya hapa JF. Baadhi wana uelewa wa kutamani kuelekea pazuri na wanapajua. Baadhi ni msimamo wa kuachiwa kutenda maovu ndo unawasukuma kutukana. wanataka Magufuli aondoke labda wataiba tena, waishi vizuri. Nafasi yangu ni kukosoa ili sura ya nchi isiharibike kwa maneno ya majukwaani wakatu tungeweza kukwepa kusema. Hata kama ni kukaa kimya tu maana hakuna aliyedai chanjo.
 
Duniani maajabu mengi.

Hili nalo ni mojawapo. Nakumbuka raisi wa zamani wa S A, Thabo Mbeki naye alipata kusema kuwa kisababishi cha Ukimwi Afrika ni lishe duni na sio kirusi.

Kwani ukiwa mkweli ni lazima useme hata yale usiyoyajua?
 
Wewe ni sawa na wale wakata viuno wa kanga moja. Ungewaongoza waafrika wenzako kutengeneza chanjo basi angalau useme tusiamini chanjo wa wazungu tutumie chanjo yetu hii. Hapa si ajabu ukasema chanjo yetu ni kujifukiza kama huyo kichaa anavyoamini.
Ni bora tusitumie chanjo kabisa Kama hatuna uhakika wa ubora na usalama kwa hizo chanjo walizotengeneza kwa sababu miili yetu Ina uwezo wa kutengeneza kinga yake yenyewe (Natural immunity).

Kutengeneza chanjo ya virus siyo kitu kirahisi Kama unavyofikili. Virus Wana tabia ya kubadilika badilika (mutate) ndani ya muda mfupi Sana. Kwa hiyo haingii akilini katika muda wa miezi kadhaa tayari kuwe na vaccine ya Covid-19.
 
Anzisha chama chako .....omba uraisi ukipata utareta Mambo yako unayopenda......kinyume na hapo Acha choyo na kijiba........mwache mwenzio ale shushu......
Urais sio cheo cha kuonyeshea mapenzi na mapungufu ya mtu, labda hujui unaongea nini.
 
Ni bora tusitumie chanjo kabisa Kama hatuna uhakika wa ubora na usalama kwa hizo chanjo walizotengeneza kwa sababu miili yetu Ina uwezo wa kutengeneza kinga yake yenyewe (Natural immunity)...
Wewe unahisi inahitajika muda kiasi gani ili chanjo yoyote kua tayari kwa matumizi?
 
Tunaweza tukasikilizwa au hapana, ukweli ni kwamba rais anatakiwa kusaidiwa jinsi ya kuchagua maneno ktk majukwaa ya kisiasa. Tunaona jinsi Rais anavyotumia jukwaa na kujisahau kwamba maneno ya rais hutafsiriwa na ofisi zote nchini na kuvuka mipaka...
Rais mwenyewe hasikilizi washauri wala hasomi hotuba anazoandaliwa, sasa hapo atasaidiwaje?
 
Sijaona kosa lolote la Rais Magufuli. Yeye ametoa angalizo kuhusu chanjo ya korona, na amewataka wozara ya afya kutokurupuka kuchukua chanjo bila utafiti. Sasa kosa lipo wapi?

Kwenye dunia ya leo unatakiwa 'ku doubt' kila kitu... Hatuwezi kuchukua kila kitu eti sababu wazungu wa juu wamesema. Kwanza ni maoni yake na msiokubaliana na nyie toeni yenu, si ndio demokrasia?

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom