Hizi Home theatre zinatengenezwa kwa teknolojia gani?

Kitu old skuli mzee baba,uwezekano wa kifaa cha kuunga ku access bluetooth utawezekana hapo?
Ndio mkuu vipo vifaa ukienda kwa fundi redio atakuwekea, bei ya hicho kifaa ni elfu kumi, ufundi elfu tano, sema anaweza kukudai elfu 20 ila ukinunua kifaa mwenyewe ukaenda nacho ufunsi buku tano tu ni kazi ya dk20 anakuwa amemaliza
 
Tafuta mzigo wa svs pb16 hyo ni subwoofer tu mamaeee
Bro dual svs pb1000 mpaka vyombo kabatini vinacheza io svs pb16 si majirani wanakupeleka serikali za mtaa kabisa?anyway Kuna subwofer inaitwa JTR Captivator RS2 hio ndo my dream subwofer, wacha nijichange change someday ndoto zitatimia.
 
Ndio mkuu vipo vifaa ukienda kwa fundi redio atakuwekea, bei ya hicho kifaa ni elfu kumi, ufundi elfu tano, sema anaweza kukudai elfu 20 ila ukinunua kifaa mwenyewe ukaenda nacho ufunsi buku tano tu ni kazi ya dk20 anakuwa amemaliza
Mkuu nashukuru sana,ntafanya hivyo mkuu.
 
20210116_140529.jpg
Msaada Hiyo Radio Imepata Changamoto Upande Wa CD Tray Haifunguki, Yaani Ukienda Kubofya Button Ya Open/Close

Inazunguuka Inaaandika Open Lakini Haifunguki, Inaandika Close. Upande Wa FM,USB Inafanya Kazi Vema
Naomba Wajuzi Wanaojua Nakosea Wapi? Hapo Awali Haikuwa Na Tatizo Hilo
 
Try that system with music from youtube hasa zile za mamtoni
Kwa wanaopenda quality, basi channel yenye audio zenye quality kubwa youtube ni hii hapa.
Code:
 https://www.youtube.com/channel/UCS7pESFJu6YlJWJHRbzAZMw
Nzuri sana kufanyia Testing ya setup.
 
View attachment 1679826Msaada Hiyo Radio Imepata Changamoto Upande Wa CD Tray Haifunguki, Yaani Ukienda Kubofya Button Ya Open/Close

Inazunguuka Inaaandika Open Lakini Haifunguki, Inaandika Close. Upande Wa FM,USB Inafanya Kazi Vema
Naomba Wajuzi Wanaojua Nakosea Wapi? Hapo Awali Haikuwa Na Tatizo Hilo
Itakuwa mkanda wa kutoa tray umekatika au motor yake imeungua.
 
Nimewacheki mzee korokwincho hivi Bongo tunafeli wapi? Tuko nyuma sana kwenye hiyo sekta yaani mziki mkubwa kwa TZ ni Sony HT BDV N9200 nimezunguka week end yote kutafuta nimekosa mziki wa kueleweka
kukariri tu,ndio yale yale ya kujaza mitecno na mi infinix kwenye meza,wakati kuna bland kibao za bei chee na ni bora kuzidi hayo matoy.

hii hapa chini jamaa anauza 1.3ml za kibongo.hata haiwezekani useme labda ni bei mkasi ndio maana hawaleti.
Screenshot_20210113-150706__01.jpg
 
Nimewacheki mzee korokwincho hivi Bongo tunafeli wapi? Tuko nyuma sana kwenye hiyo sekta yaani mziki mkubwa kwa TZ ni Sony HT BDV N9200 nimezunguka week end yote kutafuta nimekosa mziki wa kueleweka
Mkuu ww miziki yote uliyonayo kwako bado unazunguka kutafuta mwingine?😂
Nafikiri wagonjwa wa miziki tanzania tuko wachache na wengi hatuzimudu gharama.
 
Back
Top Bottom