Hizi Home theatre zinatengenezwa kwa teknolojia gani?

Unanunulia mkoa gani
Nilinunua kwenye makinia ya KC global links ( chriss lukosi
IMG_20201215_231111_871.jpg
71LIK0HCc4L._AC_SL1500_.jpg
 
Naomba kama wana page Instagram au popote cheif. Wako Tz?
Kule kuna.makorokoro mengi sana yanatoka uk, download program ya telegram kisha seach KC team, pia mcheki huyu jamaa wa insta anakuwa na makinikia ya mziki sema bei zake ziko juu Login • Instagram. Ila kuna mahalinilikuta hizo amplifier za sony zinauzwa,karikaoo mtaa wa agrey
 
Leta mrejesho wa mziki wake, umeonaje?

Nilikua nakula mangoma ya south asee ni hatari jana majiran hawajalala , sauti ukiweka kidogo tu ila mzik wake unaenjoy htr, nikatia movie za 4k asee ni shidaa. Nawaza 1000w itakuaje kama 600w naenjoi hv
 
Naomba msaada jinsi ya kutoa sauti kwenye TV isikike kwenye redio. Mfano nachek movie natumia flash iliyochomekwa kwenye Tv sasa nataka sauti ije kwenye redio

Naweka picha ya system View attachment 1677375View attachment 1677376
Halafu mkuu. Sub inatakiwaga ikae chini ardhini. Hasa chini pembeni kidogo ya showcase au kwenye kona ya chumba chako.
Speaker za surrounding zinatakiwa zika nyuma ya chumba chako kwenye kona kwa kila moja. Ndio inaleta umaana wa home theater na utaenjoy vyema sound yako.
 
Halafu mkuu. Sub inatakiwaga ikae chini ardhini. Hasa chini pembeni kidogo ya showcase au kwenye kona ya chumba chako.
Speaker za surrounding zinatakiwa zika nyuma ya chumba chako kwenye kona kwa kila moja. Ndio inaleta umaana wa home theater na uraenjoy vyema sound yako.

Hata me nimeshangaa kuona sub ipo juu ya showcase
 
Back
Top Bottom