Hizi Home theatre zinatengenezwa kwa teknolojia gani?

Mkuu nakubaliana na wewe kabisa , Ila baadhi ya watu wanaweza wasiielewe,
Music is about details ya kinachopigwa sio mdundo tu
Nilikuwa mpenzi sana wa earphone za soundmagic e10 , kwa wakati huo nilikuwa ndio chaguo langu bora , sasa Katka pilikqpilika za mtu mweusi Siku moja nikakutana na jamaa ana earphone za Shure , akaniazimisha !!! Ebana nilichoka playlist ni Ile ile yangu ya kila Siku, Ila details zilikuwa za kutosha na nilikuwa napata kila kitu katika half the volume niliyokuwa naitumia na earphone zangu. Kuna nyimbo moja jamaa Kama anakohoa flan huku akiimba nilikuwa Sijawahi kumsikia Siku zote Ila kwenye zile earphone nilisikia kila kitu

Nakubaliana na wewe mkuu , unaweza kudhani unasikiliza music kumbe unapigiwa makelele na mbaya zaidi usijue hilo
Umenena mkuu , music is good all the time ujue tunakosa vionjo vingi kwa SBB ya vifaa visivyo na ubora,
Mkuu,

Ukitaka kufurahia mziki, cheza hizi ngoma

Fanta - papi kocha. Huu mziki ulitengenezwa na ukatengenezeka. Hapa utasikia marimba, utasikia mluzi wa asili, kila kionjo kilichowekwa utakisikia.

Radha ya solo utaipata hapa Sije Saivais Ca - madilu system. (shiko mawatu)

Na hizi band zingine za nje kama

Bad to the bone- George Thorogood
Tobacco road.

Napenda sana mziki!
Yeah music is good , unganisha na "Fatmata"
 
Umenena mkuu , music is good all the time ujue tunakosa vionjo vingi kwa SBB ya vifaa visivyo na ubora,
Wenzetu nje wanaruhusu kufanya audio testing pindi unapoenda nunua music systems kwenye duka. Ili uweze kupima kile unachotaka nunua. Siku zote inashauriwa uende na playlist ya nyimbo ambazo unazijua na umezizoea.

Hii husaidia sana kujua level of details and quality of sound reproduction. Good music is not about the level of bass it can produce. It's all about quality of musics reproduction, level of details reproduced etc.

Sasa swala la bass itategemea. Je ni boomy bass au ni tight/punch bass (hii tunaita ni controlled bass). Kuna mdau kasema anasikia bass nzito ila ni makelele.

Musics ni swala pana sana ukifuatilia kwa undani. Kila component kwenye sound system ina mchango wake katika sauti ya mwisho itayoenda toka kwenye speakers
 
Hii husaidia sana kujua level of details and quality of sound reproduction. Good music is not about the level of base it can produce. It's all about quality of musics reproduction, level of details reproduced etc.

Sasa swala la base itategemea. Je ni boomy base au ni tight/punch base (hii tunaita ni controlled base). Kuna mdau kasema anasikia base nzito ila ni makelele.

Ni kweli mkuu musics ni suala pana sana japokuwa pia kujua mziki mzuri ni jambo jingine , "details and quality of sound"
Wenzetu nje wanaruhusu kufanya audio testing pindi unapoenda nunua music systems kwenye duka. Ili uweze kupima kile unachotaka nunua. Siku zote inashauriwa uende na playlist ya nyimbo ambazo unazijua na umezizoea.

Hii husaidia sana kujua level of details and quality of sound reproduction. Good music is not about the level of bass it can produce. It's all about quality of musics reproduction, level of details reproduced etc.

Sasa swala la bass itategemea. Je ni boomy bass au ni tight/punch bass (hii tunaita ni controlled bass). Kuna mdau kasema anasikia bass nzito ila ni makelele.

Musics ni swala pana sana ukifuatilia kwa undani. Kila component kwenye sound system ina mchango wake katika sauti ya mwisho itayoenda toka kwenye speaker

Wenzetu nje wanaruhusu kufanya audio testing pindi unapoenda nunua music systems kwenye duka. Ili uweze kupima kile unachotaka nunua. Siku zote inashauriwa uende na playlist ya nyimbo ambazo unazijua na umezizoea.

Hii husaidia sana kujua level of details and quality of sound reproduction. Good music is not about the level of bass it can produce. It's all about quality of musics reproduction, level of details reproduced etc.

Sasa swala la bass itategemea. Je ni boomy bass au ni tight/punch bass (hii tunaita ni controlled bass). Kuna mdau kasema anasikia bass nzito ila ni makelele.

Musics ni swala pana sana ukifuatilia kwa undani. Kila component kwenye sound system ina mchango wake katika sauti ya mwisho itayoenda toka kwenye speakers
Ni kweli mkuu musics ni swala pana japokuwa usikilizajia na utambuaji Wa muziki mzuri tunatofautiana ,wengi wanahisi wakisikia bass zito basi wanahisi ndio muziki mzuri kumbe kuna mambo ya "details and quality of sound" as you said.
 
Adjustments.jpg
 
Mkuu hapa kwa kuwa mada ni HT inabidi uchangie kwa upande huo , ila honestly hata mie Sijawahi kuzikubali Home theatre, nyingi wame focus kwenye details za high na low , sio midi. kwa hapa bongo , mie ni muumimi wa maredio flan ya mtumba kutoka japan hayanaga sura na si rafiki sana kwenye bill za umeme Ila they rock!!
Get bluetooth aptx receiver na Hilo dude halafu upate na madilu system album , unaeza fikiria madilu mwenyewe ndo yupo sebuleni kwako anakutumbuiza
Upate kenwood,techinics au pioneer yenye na graphic equlizer,utaipenda
 
Mziki wa kwenye gari mzuri sababu unaunga components independently. Ndio tofauti ya integrated system na independent.

Utanunua speakers nzuri, amplifier nzuri, equalizer nzuri, nyaya nzuri na hata output huwa nzuri 😂!!! Ile Setup unaweza pia kuifanyia ndani kwako ila watu huona gharama sana kununua kitu kimoja kimoja ndio unanunua One box system.
Nimeamua kujinulia mziki wa kuunga unga, tower speaker acouatic audio 220w rms, sony soround receiver high resolution with wifi & BT na sub ya jbl 200w, 2sony soround speakers na center, kwa sasa napata mziki kama niko studio ya DR.DRE
 
Speakers umenunua brand new au used?
 
Mambo vipi wadau, jumamos nilikua na ki event hapa home basi kuna jamaa angu ana HT ya sony akaileta ili isaidie kwa masuala ya mziki. Hii sony ina spika ndefu 2 na zingine fupi 3 tukatandaza sebule yote.

Before haijaja Sony nilikuwa naplay muziki kwa buffa langu seapiano, ila kwa masaa 3 tu ilikuwa imepata moto sana na spika zilianza koroma. Sasa tumeanza tumia sony kuanzia saa 7 mchana mpaka saa 6 usiku lakini ngoma haijapata moto na mziki unaotoka ni hatari. Hapa nimebaki na maswali kwanini isipate hata moto kdg? Yani ya baridi na muziki tuliweka sauti mpaka mwisho.

Kwenu wataalamu nisaidieni hili, nimejikuta navutiwa na Sony.
S.T.P T.D.A esi tii pii tidiei kuna mbovu hapo kwenye power saply na AC y spiker kubwa ina shida ya kubadilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom