Mzenjibar
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 227
- 292
Umenena mkuu , music is good all the time ujue tunakosa vionjo vingi kwa SBB ya vifaa visivyo na ubora,Mkuu nakubaliana na wewe kabisa , Ila baadhi ya watu wanaweza wasiielewe,
Music is about details ya kinachopigwa sio mdundo tu
Nilikuwa mpenzi sana wa earphone za soundmagic e10 , kwa wakati huo nilikuwa ndio chaguo langu bora , sasa Katka pilikqpilika za mtu mweusi Siku moja nikakutana na jamaa ana earphone za Shure , akaniazimisha !!! Ebana nilichoka playlist ni Ile ile yangu ya kila Siku, Ila details zilikuwa za kutosha na nilikuwa napata kila kitu katika half the volume niliyokuwa naitumia na earphone zangu. Kuna nyimbo moja jamaa Kama anakohoa flan huku akiimba nilikuwa Sijawahi kumsikia Siku zote Ila kwenye zile earphone nilisikia kila kitu
Nakubaliana na wewe mkuu , unaweza kudhani unasikiliza music kumbe unapigiwa makelele na mbaya zaidi usijue hilo
Yeah music is good , unganisha na "Fatmata"Mkuu,
Ukitaka kufurahia mziki, cheza hizi ngoma
Fanta - papi kocha. Huu mziki ulitengenezwa na ukatengenezeka. Hapa utasikia marimba, utasikia mluzi wa asili, kila kionjo kilichowekwa utakisikia.
Radha ya solo utaipata hapa Sije Saivais Ca - madilu system. (shiko mawatu)
Na hizi band zingine za nje kama
Bad to the bone- George Thorogood
Tobacco road.
Napenda sana mziki!