Hizi Home theatre zinatengenezwa kwa teknolojia gani?

Sio opoa hyo svs aloo kwanza inaauzwa kma milion 5 hvi subwoofer tupu mamaeeeee
Bro dual svs pb1000 mpaka vyombo kabatini vinacheza io svs pb16 si majirani wanakupeleka serikali za mtaa kabisa?anyway Kuna subwofer inaitwa JTR Captivator RS2 hio ndo my dream subwofer, wacha nijichange change someday ndoto zitatimia.
 
Shida hta vikilietwa huku kuna watu wangapi watspend zaidi ya 5milions just for music tu aisee??, na utawala wenyewe huu jiwe
Nimewacheki mzee korokwincho hivi Bongo tunafeli wapi? Tuko nyuma sana kwenye hiyo sekta yaani mziki mkubwa kwa TZ ni Sony HT BDV N9200 nimezunguka week end yote kutafuta nimekosa mziki wa kueleweka
 
kukariri tu,ndio yale yale ya kujaza mitecno na mi infinix kwenye meza,wakati kuna bland kibao za bei chee na ni bora kuzidi hayo matoy.

hii hapa chini jamaa anauza 1.3ml za kibongo.hata haiwezekani useme labda ni bei mkasi ndio maana hawaleti.View attachment 1680167
Polk Audio nayo iko Quality sana, umeipata duka gani hii?
 
sasa ww utafananisha sea piano na sony.kwanza ile sea piano haina lile la kupoza umeme inachemka na watts zake ndogo sana kuweza kuhimili kwa muda mrefu
 
Panasonic hiyo
electronics_tz1_store-20210123-0001.jpg


Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Mwezi huu nimenunua earbuds(earphone) za Sonny 1000 xm3. Sh 700,000.

Yaani earphone kwa sh laki 7. True Wireless, Noise Cancellation earbuds. (Pale mcity wanauza laki 9 , nilinunua duka lingine lenye cheaper price, laki 7)

Mtu akisikia nanunua earphone kwa laki 7 anaweza kushangaa...but man, QUALITY IS WHAT THESE THINGS STANDS FOR.
Wakati unashangaa Bei , Sony earphone 1000xm inauzwa laki 9 pale m city.
 
Dah umetisha sana, Mimi niko n SoundBar Samsung 450 mziki safi uliotuli. Ila nataka nijichange tena ninuunue Sony 5.1 soundbar.
Hakuna kitu kinachoutwa "5.1 soundbar".
Yenye 5.1 ni homethearter.

5.1 maana yake ni Speaker 5 na Woofer 1, ndio hiyo 5.1 inapotokea.

Ukisikia mziki ni 7.1 maana yake ni Speakers 7 na woofer 1.

Soundbar ina speaker 1, so ni makosa kuita 5.1 or anything like that.
 
Back
Top Bottom