Hizi Home theatre zinatengenezwa kwa teknolojia gani?

Halafu mkuu. Sub inatakiwaga ikae chini ardhini. Hasa chini pembeni kidogo ya showcase au kwenye kona ya chumba chako.
Speaker za surrounding zinatakiwa zika nyuma ya chumba chako kwenye kona kwa kila moja. Ndio inaleta umaana wa home theater na utaenjoy vyema sound yako.
Duh sasa nahofia kusambaza spika ili nyaya zisije zikaanza kukatiza sebule nzima na mpangilio wa geto hautakua mzuri. Istoshe magoma yataanza kujikwaa nyaya. Sjui labda nipokee ushauri zaidi
 
Naomba msaada jinsi ya kutoa sauti kwenye TV isikike kwenye redio. Mfano nachek movie natumia flash iliyochomekwa kwenye Tv sasa nataka sauti ije kwenye redio

Naweka picha ya system View attachment 1677375View attachment 1677376
Hapo unachotakiwa kufanya ni hivi

weka flash kwenye tv , itafungua drive then play hiyo video
ukishamaliza washa radio yako inatakiwa iwe imewaka .
chukua hiyo remote control press upande wa kulia kitufe cha pili HDI una press hapo sauti itakuwa powah
 
.
JPEG_20210114_150847_8773698142596274403.jpg
 
Hapo unachotakiwa kufanya ni hivi

weka flash kwenye tv , itafungua drive then play hiyo video
ukishamaliza washa radio yako inatakiwa iwe imewaka .
chukua hiyo remote control press upande wa kulia kitufe cha pili HDI una press hapo sauti itakuwa powah
Press Optcal Audio hapo utakuwa umemaliza kazi, hata kwenye deki itaandika Optical
 
Umri umesogea niko mid 40s kuna baadhi ya vitu automatically vinapungua, pia wife anapenda akilala chumba kiwe na utulivu so nimeweka radio (Panasonic) ndogo ya kusikilizia BBC na magazeti asubuhi.

Miziki mikubwa nimeweka sebuleni (nina sebule mbili) na kila TV nimeiwekea Sound Bar za Sony
Hongera na mfuko wako uko vyema sana.
 
Back
Top Bottom