Hizi Home theatre zinatengenezwa kwa teknolojia gani?

INSIDER MAN

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
1,703
15,335
Mambo vipi wadau, jumamos nilikua na ki event hapa home basi kuna jamaa angu ana HT ya sony akaileta ili isaidie kwa masuala ya mziki. Hii sony ina spika ndefu 2 na zingine fupi 3 tukatandaza sebule yote.

Before haijaja Sony nilikuwa naplay muziki kwa buffa langu seapiano, ila kwa masaa 3 tu ilikuwa imepata moto sana na spika zilianza koroma. Sasa tumeanza tumia sony kuanzia saa 7 mchana mpaka saa 6 usiku lakini ngoma haijapata moto na mziki unaotoka ni hatari. Hapa nimebaki na maswali kwanini isipate hata moto kdg? Yani ya baridi na muziki tuliweka sauti mpaka mwisho.

Kwenu wataalamu nisaidieni hili, nimejikuta navutiwa na Sony.
 
Uwezo wa cooling ndio unawezesha hzo HT kuweza operate kwa mda mrefu. Lakini pia power management yao ni bora kuliko hzo za kichina. Hzo za kichina zinatumia motherboards ambazo ni basic sana ambazo hata wewe unaweza agiza Aliexpress ukatengeneza subwoofer yako

Shukran kwa elimu
 
Hizo motherboards za Mi Sabufa ya kichina hata haina haja ya kuagiza. Unaweza kutengeneza mwenyewe tu. Zinafanana almost zote na hazina technolojia ya ajabu. Very Basic circuits . Ndio maana hata inaweza kuungua kila mwezi bila sababu ya msingi. 🙆
 
mchina anatumia malighafi ya hali ya chini kuundia vifaa
matokeo IC ina kua kimeo, haweki heat sink/heat compound ya kutosha (au haweki kabisa) ,
michina mingi ukipiga sauti ya juu zinakufa taratib maana ICs zinachemka uko ndani

Zile IC wanazotumiaga hata hazina specific power input wala haina specific power output. Unakuta sabufa ina PMPO 20,000W halafu RMS 40W sijui wanaandikaga tu au wanapima kweli maana hata haviendani.
 
Uwezo wa cooling ndio unawezesha hzo HT kuweza operate kwa mda mrefu. Lakini pia power management yao ni bora kuliko hzo za kichina. Hzo za kichina zinatumia motherboards ambazo ni basic sana ambazo hata wewe unaweza agiza Aliexpress ukatengeneza subwoofer yako
kuna jamaa nilimuona anachezea chezea hii kitu youtube,anaunga unga kupata sub woofer analotaka.

si nikaitamani na mimi!!!kuulizia bei nakuta ni $1400 nilihisi utumbo unajisokota.View attachment 1675555View attachment 1675554
images.jpg
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom