mimi nashangaa labda tunazidiana ujuzi jamani, maana mhhh redio za nyumbani zinachapa bana.
ndio niko hapa mara naambiwa hizo redio za magari zinatumia umeme maalum, sasa hii redio ya hivi inaweza kupambana na vyuma vya kwenye socket kweli!!
Inaeza kuwa inatumia direct kwenye socket ila bado ikawa na nguvu kidogo ...kifupi hakuna amp ya gari isiojiweza hata ukichukua ile ndogo kabisa bado ni balaa tofaut na majumbani