Hizi Hollywood Sex scandals, wanamuwinda D.Trump tu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Hivi karibuni kumeibuka sex scandals huko USA ambapo watu maarufu hasa Hollywood kama film producer H. Weistein, actor Kevin Spacey wanashutumiwa kuwalazimisha Wanawake bila ya idhini yao, lkn najua hawa ni sadaka tu lkn anayetafutwa hapo ni D.Trump!

Baada ya kumtafuta kila mahali ili wamuondoe na kugonga mwamba kuanzia uhusiano na Putin mpaka mambo ya sijui racism sasa wanajiandaa na kubwa kuliko, watajitokeza Wanawake ambao watasema D.Trump aliwashika kinyume na matakwa yao, na kuanza impeachment, lkn D.Trump ni fighter hawatamuweza.

Mungu mlinde D.Trump dhidi ya wapinga kristo, Afrika inamuhitaji D.Trump bila ya Trump sasa hivi Kenya kungekuwa na Vita kama 2007/08 ambapo evil Obama na Clinton walidhamiria kuingamiza Afrika, walimuua Gadafi na kuleta Arab spring, wakafadhili boko haram pmj na Isis, Amani ipo Afrika na Duniani kwa sababu ya D. Trump, ...
 
Trump namkubali sana yaani lenyewe linajali uchumi tu hata wamchafue vip yeye anakomaa na uchumi tu

Hongera kwa dtrump
 
Hivi karibuni kumeibuka sex scandals huko USA ambapo watu maarufu hasa Hollywood kama film producer H. Weistein, actor Kevin Spacey wanashutumiwa kuwalazimisha Wanawake bila ya idhini yao, lkn najua hawa ni sadaka tu lkn anayetafutwa hapo ni D.Trump!

Baada ya kumtafuta kila mahali ili wamuondoe na kugonga mwamba kuanzia uhusiano na Putin mpaka mambo ya sijui racism sasa wanajiandaa na kubwa kuliko, watajitokeza Wanawake ambao watasema D.Trump aliwashika kinyume na matakwa yao, na kuanza impeachment, lkn D.Trump ni fighter hawatamuweza.

Mungu mlinde D.Trump dhidi ya wapinga kristo, Afrika inamuhitaji D.Trump bila ya Trump sasa hivi Kenya kungekuwa na Vita kama 2007/08 ambapo evil Obama na Clinton walidhamiria kuingamiza Afrika, walimuua Gadafi na kuleta Arab spring, wakafadhili boko haram pmj na Isis, Amani ipo Afrika na Duniani kwa sababu ya D. Trump, ...
well said
 
Trump walimshindwa kipindi anagombea kwa sasa hawataweza
Impeachment ya Trump itawasababishia hasara kama taifa
 
Sio kweli kwasababu trump tayari ana sex scandals nyingi tu na haijamzuia kushinda uraisi kwasababu supporters wake hawajali mambo hayo. kabla hata hajatangaza kugombea uraisi wanawake wengi tu walijitokeza wakilalamikia tabia za trump kwaio izo scandals hazihusiani na siasa.
Donald Trump sexual misconduct allegations - Wikipedia
Kama wanataka kumharibia trump hawawezi kutumia hizi sex scandals kwasababu tayari zinajulikana hata wakati wa kampeni ilitoka ile video ya trump akisema "grab them by the pussy" na haikumharibia chochote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom