Hizi Hela kwa kukadiria zinaweza kufika shilingi ngapi?

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,644
18,707
13173771_1591072557871362_6791985276847310054_n.jpg
 
kila kitita hapo kina milioni tano tano sasa kuna vitita vingapi?
 
ww jambazi hizo hela ulizo iba umeshindwa kuhesabu unataka sisi ndio tukusaidie kuhesabu.
 
WE umeipataje hii picha wakati hapo ndani nilikuwa peke yangu ! kumbeee ndio maana buku 5 ilipungua ulichukua ww nirudishie SOMOOO.
.
 
Ngoja tusubirie taarifa ya habari..watatangaza! Kupata kiasi kamili toa mil80...
 
Back
Top Bottom